WCB Label Wanawahitaji CLOUDS MEDIA kuliko hata Wcb wanavyowahitaji Babu tale na Sallam sk


Mkuu nakuunga mkono kwa kiasi flani ila si kweli WCB wanategemea hizi media za Dar kusikika MIKOANI.

Ukweli ni kwamba karibu kila mkoa sk hizi wana FM radio zao maarufu kwenye mkoa husika ambazo hazina bifu na WCB na zinapiga ngoma za WCB.
Nitoe mifano ya Arusha, Mwanza na Moshi. Kule hit ikitoka haichukui masaa tayari inapigwa kwa fujo na local FM radios.

Na zile local FM radio za mikoani kule zinasikika vizuri zaidi (clear) kuliko hizi station zinazorusha kutokea Dar. Kwa hiyo zile zama za wamiliki wa media za Dar kujiona mungu mtu zimepita!!!
 
Ndio hapa unagundua media za dar hazina nguvu MIKOANI kama wanavyodhani. Nguvu zao zilikua zamani si sasa!!!
 
Kiba100 anasapoti na karibu na TV zote lakini amevunda...WCB ni namba nyingine hata bila hizo media uchwara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
99 problems - jay z



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niko zangu hapa kidabaga, Kilolo , Iringa kwenye kijiwe cha bodaboda wanapiga ngoma ya Mbosso - Ate.. hao wasanii wanaosupportiwa na EATV , clouds n.k mbona siwasikii huku?? Au mbona hizo tuzo international hawapati??
 
Hapa ni wapi!!??
 
Sio tu Rayvanny sasa hivi nyimbo zote za Wasafi zinapigwa sijui kimetokea nini?
Huu uzi ni wa miaka minne iliyopita, mambo yamebadlika, Diamond ana Media yake Wasafi Radio and TV, digital platforms kama YouTube yana nguvu zaidi. Clouds na wengine hawana option.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…