Hahahahahahkonde bado hajafika level ya kaka yake hapo mtakuja kumuua mtoto wa watu kumtia kichwa sema kaka yake kachanganyikiwa mana konde ndie alitakiwa amuachie mikoba sema dogo kaondoka wamebaki waimba kaswida na uhindi pale
Muda utafika atarudi CHITOHOLI...Diehard fans wa Diamond sijui ni kwanini wamechukizwa sana na Kondeboy kutoka WCB..wamebaki kusubiria aanze kupauka kama Rich Mavoko..kitu ambacho hakiwezi kutokea
UNO audio tu tayari 1m+ stream on youtube..
Tuache uchawi..Diamond afanye kazi aendelee kuwa juu,na Harmonize naye aendelee kuwa juu na hata akimpita Diamond iwe ni ishu ya kawaida
Au nimedanganya mkuu?Hahahahahah
Mwakani konde festivalMuda utafika atarudi CHITOHOLI...
Ina make senseAu nimedanganya mkuu?
Nimewaambia kk atapagawa sasa kaenda kufanya sponsored kuitafuta namba moja View attachment 1258778
Tupeane muda... muda ndo muamuzi mzuri.... HII POST NAIHIFADHIMwakani konde festival