Renatus Edward
Member
- Aug 2, 2011
- 50
- 55
WCB chini ya CEO wake anaejua mziki na kutafuta pesa ni hatari chafu kabisa,hii ya jangwani beach party ni zaidi ya fiesta...naamini atakonga nyoyo za mashabiki wake.wasanii wengine wajifunze kuwa wabuniifu kama hawa WCB,jana Mlimani city walitisha na ile ilikuwa kuuza ticket tu mambo yote ni leo hakika hii si ya kukosa.