WCB ni balaaa

Joined
Aug 2, 2011
Posts
50
Reaction score
55
WCB chini ya CEO wake anaejua mziki na kutafuta pesa ni hatari chafu kabisa,hii ya jangwani beach party ni zaidi ya fiesta...naamini atakonga nyoyo za mashabiki wake.wasanii wengine wajifunze kuwa wabuniifu kama hawa WCB,jana Mlimani city walitisha na ile ilikuwa kuuza ticket tu mambo yote ni leo hakika hii si ya kukosa.
 
Na hivi ndivyo ilivyokuwa pale Mlimani city.
 
Kuna dogo wa Udom jana aliua,
Alipigwa wallet na pesa . Mondi akampa ticket na nauli ya kurudi UDOM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…