WCB waja na website yao itakayouza kazi zao.

Website imekaa vizuri. Hakika mimi nitawa support. Maana wimbo mmoja sh. 500
Halafu unalipa kwa mobile money, VISA, MasterCard. Au unaweza kuwa na account ukaweka pesa kwenye wallet. Hakika haya mapinduzi yatabadilisha soko la muziki.
 
Dimond si alisema alilipwa bilioni 2.2 alafu akalipa kodi milioni 35 ili kazi za WCB ziwe zinauzwa na label ya Universal Music world wide?!

Imekuaje tena wanataka kuuza wenyewe kwenye Website yao?!
 
naona wanasajiri na brandname/trademark yao. ni move nzuri kwa wasanii wa ndani, wengi wana majina ila hayana hati miliki, kwamba hata leo mtu harmo rapa katoka kwa jina la harmonize, harmonize angekuwa na hati miliki ya jina lake la kisanii angeshamfungulia mashtaka harmorapa.
 
Dimond si alisema alilipwa bilioni 2.2 alafu akalipa kodi milioni 35 ili kazi za WCB ziwe zinauzwa na label ya Universal Music world wide?!

Imekuaje tena wanataka kuuza wenyewe kwenye Website yao?!
Alipewa bilioni mbili kushawishiwa ajiunge na universal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…