kingine wale ni mgambo hawa wa JMT ni too advanced[emoji23][emoji23][emoji23] Hao walinzi wa JMT wana hati miliki ya hiyo system kuwa hairuhusiwi kutumiwa na mtu mwingine yule?
Isitoshe hizo zote ni juhudi za Mzungu, kwahiyo kila mtu anafanya apendavyo.
Si ajabu hata ni headphone tu wanasikiliza miziki yao, hakuna vifaa vya mawasiliano wala ninKama unawafuatilia vijana wa WCB hasa diamond na harmonize wameadvance walinzi wao wanatembea na head4n.
Pia kama wanaenda sehemu lazima wao watangulie na wanakifaa cha kupima km kuna bomu niliona pale kwenye katafsrija cha makonda.
Pia km unafuatilia kipindi cha coce studio utaona ni security Kali ya harmonize na rayvany imetawala.
Pia wana burrete proof ..nauliza tu wadau nitoeni ushamba au kuna kibali maalumu wanapewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jmt ndio nani mkuu funguka baba jeskakingine wale ni mgambo hawa wa JMT ni too advanced
burrete ndio nini?burrete
Si ajabu hata ni headphone tu wanasikiliza miziki yao, hakuna vifaa vya mawasiliano wala nin
Ulishahama ulinzi na msafara wa Samatta akija Tanzania? Utashangaa mara 2 ya hiyo ya DiamondKama unawafuatilia vijana wa WCB hasa diamond na harmonize wameadvance walinzi wao wanatembea na head4n.
Pia kama wanaenda sehemu lazima wao watangulie na wanakifaa cha kupima km kuna bomu niliona pale kwenye katafsrija cha makonda.
Pia km unafuatilia kipindi cha coce studio utaona ni security Kali ya harmonize na rayvany imetawala.
Pia wana bullete proof ..nauliza tu wadau nitoeni ushamba au kuna kibali maalumu wanapewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulishahama ulinzi na msafara wa Samatta akija Tanzania? Utashangaa mara 2 ya hiyo ya Diamond