me nisingekubali mil 35! kwa hali hii! kha! naanzajeanzaje lbd😀
ghaaaa NI BORA URUDI SHULE.It's like that now huh?
More power to them, though.
They {doin' it.}
Najua watu watabisha, sasa mkitaka kujirizisha nendeni TRA, simple like that, go chibu usiangalie nyuma, utakeuga jiwe alafu utashindwa kumove on.
Ahaahaaaa duuuh ila ndio mambo ya binadamu.Wataomba screenshot ya receipt, we subiri tu.
Eeh lebel yke inaitwaje mkuu[emoji2][emoji2]Swala la kodi halikwepeki, siku ukiingia kwenye reli ya TRA huna ujanja lazima ulipe. Kuna siku niliingiza guitar jipya kutoka Sweden nikapigiwa mahesabu nikaambiwa nililipie laki nne mi mwenyewe nilichoka.