WCB wamtembelea JMK

WCB wamtembelea JMK

Bome-e

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
17,179
Reaction score
26,188
Daah,sijui kama ingekuwa jamaa yetu wangefika kweli!Pia wadau tujuzane wasanii ambao wameshatinga magogoni awamu hii ya 5!Sijaona post hata moja ya msanii akiwa na JPM 2016
IMG_201609258_070825.jpg
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Yule wa sasa ni mdoshi"wasukuma watakuwa wamenielewa" hakuna kuhang hang ovyo na classless people
 
Back
Top Bottom