WCB Wanapo Recycle Vizee Vya Bongofleva Trying To Bring Back 1990's in 2016

C.T.U
Much respect...
Ila wabana pua wamejazana sana wcb.
 
mziki unaujua bro leta madini zaidi
 
Ahsante sana nahis nimekutana na mtu ninaefanana kwenye music

Yaan nikifunguliaga home thieta yangu, radio za bongo haziutendei haki kabisa vifaa vyangu vya music, wanapiga mziki wenye kelele tu, I can't enjoy good music
Kuna dj Moja kabak pale east Africa radio km sikosei ni big man, dj Kim yy ndio angalau huwa ananikosha japo siku izi simskii na radio one dj Jayde simskii yupo vizur

Kipind cha jion cha ghetton unachokisemea kimekosa dj anaejua vizur mziki wa nje

Mimi siku izi sisubir muziki wa radio, japo muziki wa radio unaladha yake kwasababu unashea na wengi kwa wakati mmoja
 

Umekunywa BLACK COFFEE lakini kushusha munkari?
 
kwanza kuandika hujui
pili..una judge kutokana na maono yako
tatu...we n mshabiki tu...

Ala in all najua hujanielewa
Mi sio muandishi so kutokujua kuandika is expected.
 
Haters bhana

Wana hate tuu, kunakuwaga hakuna sababu ya msingi
Kunywa BLACK COFEE kwa afya yako. Ukikosa waweza tumia hata kinywaji cha KOFFI OLOMIDE MOPAO kushusha pressure za kishindwa.
 
Sasa jipu C.T.U umechakachua udahili wa wanafunzi wasio na sifa kumbe sababu kubwa unajienjoy tu Music, tena unachukua liberty ya ku u study mziki kabisaaa kwa raha zako wakati Taifa linaangamia kwa udahili wako wa elimu ya juu mbovu mbovu na wa kifisadi. Hahahaaaaaa!

SASA NAANZA KUKUJIBU RASMI HOJA ZAKO UKININYIMA UDAHILI WA PHD IN BONGO FLEVA POTELEA POTE.
 
hiki ndo fans wa bongo flava wanashindwa kuelewa.....baada ya BET haters wa diamond kutoka TZ wanajikuta wanamuweka diamond ktk trend....most trending names after BET2016Africa Black coffee and Diamond platnumz...even with negative critics every trend in music industry is benefit, same strategy used by Kanye West even currently used by desiigner....ni simple tu "for them to hate you, they have to know you, by doin that they will listen your music looking for critics and you will get money and online/offline trend by that"......
 

Attachments

  • 8.PNG
    7.1 KB · Views: 49
Uko right hata kiki za wanawake zinazoeleka wote waimba style moja waje na ubunifu mwingine
 
Kwa Dada Diana hatusikilizi chochote, na redioni wakipiga tunabadilisha na zilivo nyingi sasa. Hahahaaa! Ommy crazzy kuna siku almanusura avunjiwe Dj kit hahahaa hii ndo bongo banaa majungu hayakusaidii chochote mjunguliwa kama Wema. Tunassuza tu roho zetu si mnajua JPM kabana
 

C.T.U kaka angu nakujibu kama ifatavyo

1. STSTEM IKO COMPLICATED. IT IS NOT AN EXCUSE. Music system zote duniani ziko complicated wala sio kisingizio. Unataka kuniaminisha system ya mziki ya Nigeria au Kenya ni rahisi kuliko ya Bongo? Aaaah wapi kwanza system ya Bongo rahisi mtu anaweza toka kijijini na basi kama Nuh, Baraka etc na aka make a hit single.

2. COME ON! Hahahaaa! Eti Juma Nature, Sugu, Jay waliondolea na watu. HAHAAAAAAAAA! kwa hio hao watu waliingia vichwani mwao na KUFILISI MASHAIRI YOTE AU? WALICHIMBA BITI STUDIO WASI RECODIWE AU? COME ON THE OLD CARGOS, GOT OLD, LOST THEIR GAME IN MUSIC, GOT FAT, LAZY AND DRUNK THAT IF FACT. WALIACHA MZIKI KIUPEO WALISHINDWA KUBADILIKA KUENDANA NA SOKO WAKASAFIRIA MAJINA YAO WAKAFA NATURAL MUSIC DEATH AMBAYO ANY ARTIST AKILOSE HIS ARTISTIC INSTINCTS AND BEHAVIOR ANAACHIA NGAZI. BONGO KULIKUWA NA REDIO NGAPI ZINAPIGA NYIMBO ZAO FANYA NA RATIO ZILIZOKUWA HAZIPIGI WABONGO KWA VISINGIZIO.

We nyimbo alizoimba Jay mwishoni yuko CHICHA, Jay wa Mitulinga Mti Mkavu tena tuulize sisi wa Meta Sec ndo tunamjua Jay, utazifananisha na enzi za Nigger J wa Hard Blasters Crew HBC sambamba na Will na Terry? Hata alivoenda solo zile hit songs zake NDIO MZEE, The guy alikaa chini akatuliza akili, kila mtu alikubali, albamu ya MACHOZI JASHO NA DAMU UTAI COMPARE NA JOSEPH AU SINGLE ZA ALUTA CONTINUA? HAHAAAAAAAAAAAAA! Jay got lighter by day, baada ya ile album as a solo artist ya kwanza ubunifu wake ukawa unashuka tu mpaka soko lilivomtema. Atleast angetemwa akiwa katoa HIT SINGLE AU ALBUM, ALIACHA MUZIKI MWENYEWE.

Sugu nae KIMZIKI ALISHACHOKA. Minyimbo ya mwisho tuliigomea wenywe ilipigwa sana Magic na redio kibao. aLICHODHULUMIWA KIUKWELI NA KILINIUMA ILA ALISHALIPWA NI MRADI WA MALARIA baaaaaaaaassssss.

Nature nae hivohivo alifilisika kimziki hata nyimbo yake ya juzi juzi hovyo kabisaa, wala hamna haja ya kumhujumu alishajiujumu mwenywe. hahaaaaaaaaa.

2. VITUO NI MALI BINAFSI ZA WATU TUELEWANE SIO MALI ZA SERIKALI ZILE KWA HIO KITUO KIMOJA KUTOPIGA NYIMBO ZA DAI SIO ISSUE. UKIFANYA RATIO YA VINAVOPIGA NA VSIVOPIGA NI 99 VINAPIGA ILA WABONGO HAMTONA HIVO 99 ILA HIKO KIMOJA NDO HASWAA SHIDA YENU. Hahahaaaaaaaaaa! Itafika mahali utasikia Lara 1 hapigi nyimbo za Diana kwenye Laptop yake. KWANINI NJIULIZE WHY WAKATI KITUO CHAKENA SIKUMCHANGI SH 100 KUKISAJILI? MI NAJIULIZA NA HIVO 99% VINAVOPIGA MBONA ANASHUKA KWA KASI KAMA SHILLINGI KWENYE SOKO LA DUNIA. HAHAHAAAAAAAAA.

3. MARKET SEGMENTATION GIVEN BONGO FLEVA IMEANZA 1990S IKIRUDI NYUMA SANAA 1980S HAIJAFIKIA MATURITY HIO. First generation ya Bongo Fleva ndo sie watu tuliozaliwa late 70s na 80s. Before 70s hawakusikiliza Bongo Fleva mwanzo sababu ilikuwa ni UHUNI MKBWA waliskiliza mziki wa nje ya nchi. SOKO BADO CHANGA KULI SEGMENT MEANING FULLY.

4. NOT A VERY MOVE BY A BIG LABEL IS A SMART MOVE! KATIKA IGA IGA ZENU MSIANGALIE WALI MSIGN NANI NA KWA NINI, ANGALIE POROFITABILITY ILIOPATIKANA NA HIO MOVE. SOMETIMES MNAWEZA KUWA COPYING MISTAKES BILA KUJIJUA. SASA WENZENU WANA FINANCIAL STRENGTH YA KU SURVIVE HIZO MISTAKES JE NYIE MNAZO HIZO HELA ZA KUTOA LOST SINGLES ZENYE VIDO KALI KAMA NGAPI?
 
ze big

Sioni kama kimbea, bali mtoa mada anaonekana yuko biased sana kwenye haya mambo ya muziki, kwa maana kwamba hampendi Diamond na hiyo timu yake ya wasafi

Lakini kuna ukweli ulio wazi kabisa kuwa kwa Tanzania hakuna watu wanaoujua mziki wa Tanzania na labda East Africa kama hao wakina Babu tTale, Mkubwa fela nk, Madam Lita kafanya hiyo bongo star search kwa miaka mingi na hakuna hata mwanamuziki mmoja wa maana aliyemtengeneza labda huyo Kala Jeremiah ambaye nae wala hakuwa mshindi wa kwanza

Kabla ya kuzungumzia Wasafi, mtu anapaswa kwanza kuwazungumzia Babu Tale, Mkubwa fela , pia awaangalie, Wanaume TMK, Yamoto nk ndio kisha aje wajudge Wasafi na hiyo zoazoa ya wanamuziki wakongwe
 
Anti Kama Una Blog Heb Nielekeze Inaitwaje Maana Ushanipata Wa Kuitembelea Kila Siku,,,,,uko Deep Mno
 
Bro Samahan Naomba Nitajie Hit Ya Madonna In The Last 3yrs Na Ilipeak Namba Ngap Kwenye Billboard Charts
 
Bro Samahan Naomba Nitajie Hit Ya Madonna In The Last 3yrs Na Ilipeak Namba Ngap Kwenye Billboard Charts Samahan Bro Naomba Nitajie Hit Ya Mwisho Ya Madonna Na Ilipeak Number Ngap Kwenye Billboard Charts,,,,,sawa Pengne Mleta Uzi Alianza Kwa Kusema Vtu Tokana Na Ushabiki/sio Ushabiki Wake Ila Lazma Ukubali Alichosema Kina Substance Mi Ni Fan Mkubwa Wa Diamond Lakini Juma Nature,,,really, Na Nimenotice Hzo Mbwembwe Za Kumpondea Dai Ni Style Yake Ya Uandish Mleta Uzi Maana Thread Zake Nyingi Zinaanza Kwa Mtindo Huo Igweeeeeeeeeeeeeeee Just Angalia Content What Shes Saying Is MOSTLY True
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…