WCB Wanapo Recycle Vizee Vya Bongofleva Trying To Bring Back 1990's in 2016

Uchawi sio lazma kuruka angani uchi halafu ww unaonekana unayako na chuki zako binafsi halafu unataka kulazimisha watu waamini unachokiona ww unasahau hio ni mitazamo yako ww na kila mtu ana mambo yake anayomsaidia na maisha yake kama unaona uko perfect and ur gud on fomulaz basi anzisha crew yako saini hivo vipaji vipya itakuwa better hivi watanzania tunatatizo gani vitu vizuri badala ya kujifunza na kuwa karibu tunaviponda na kutafutia makosa upuuuzi huo we lidada
 
Lara nimekuelewa but I dnt think Mavoko and juma nature sailed with the same ship.
When juma was on top huyu Mavoko nadhani alikuwa anakimbia na kibukta mtaani.
So may be u should give him a second chance coz akianza kuwika miaka kama 6 nyuma and he still young.
But as for nature hapo wamebugi Mia Mia.
Nilikuwa nakubali sana.mavoko but kilichomfanya apotee sikijui but alivyorudi tena ndo.kanivunja moyo kabisa yaani....this kid was good but ni kama unavyosema....mziki au time ndio vinakupush out kutoka kwenye game... That's y akina Bobby brown,gwine, Sisco, walijitahidi kurudi but wakaangukia pua mbaya coz time ilikuwa imepita sana na hawa watoto wa siku hizi ni pop, kudagi sijui ni shida tu.
OOH I MISS THE OLD R&B SEMA NDO HVY TENA TIME ISHAWAPUSH AKINA BRANDY,MONICA,KEITH SWEET N THE LIKES
 



Umeona mbali sana
 
U have said it all lady. Thank you.

Watu wengine wanajua sana ku manage maisha na mipango ya wenzao from a distance, ukiwaangalia wao wenyewe hawawezi manage hata kuku mtaani kwao!
Ooh wanamuziki wa 90s na 2016, if u know music and whats best for the label that much, alisubiri nini kufungua label yake hadi mtu mwingine aanzishe ajue kukosoa?
 
shida ya Mondi ni kuwa on his way up ametengeneza maadui wengi wa kujitakia,aliowa drop njiani maybe akiona wangekua liability kwa yeye kufikia ndoto zake, 'aliowakaza' au 'waliotaka kukazwa nae' au watu 'aliowakazia' magoma yao.now wakawa wanamuombea tu mabaya na kumpuuza wakijua mwisho wakea umefika.
Kwamba anaendelea kua 'mkubwa' hivi inawauma mno.na mafanikio yake haya madogo yanakwaza sana wenye roho mbaya hizi ila sababu hawana cha kumfanya they just wish aanguke kimuziki na mambo mabaya yampate!
wanakosoa anaowa sign ila hakuna alie bother kupongeza aliporudi na label na kutoa ajira.kujaribu kumuangusha kwa maneno na mikakati michafu hakutawapandisha wao wala the artists they are backing..

btw:bandiko la CTU ni la kiwango 'cha olympic' na halijajibiwa bado.hongera bruv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…