WCB Wasafi Nzima Wameng'ara Kwenye Tuzo Za Aeausa-Marekani Pamoja Na Zarithebosslady

Freelancer Wakala

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2016
Posts
1,193
Reaction score
828
Kundi la WCB wasafi wameng'ara kwenye tuzo za
African Enternaiment Awards USA(Marekani) kama ifuatavyo.

•Best Manager of the year-Babu tale

•Best Male Artist of the year-Diamond Platnumz

•People's Choice Awards of the year-Diamond Platnumz

•Best Video of the year-Harmonize-Niambie

•Best Video of the year-Salome-Diamond Platnumz ft Rayvanny

•Best Producer/Director-LizerClassic

•Entrepreneur/Business of the year-Zarithebosslady

•Entrepreneur/Businesses of the year-WCB wasafi
•Best New Artist-Rich Mavoko

•Best Collaboration-Kidogo-Diamond Platnumz ft P-square

•Best International Artist-Diamond Platnumz

•Best Male Single-Natafuta Kiki-Rayvanny

Bonyeza hapa kupiga kura[URL/]
 
Kwa upande wa Mavocco ameingia kama chipukizi nahisi hakuwa anajulikana saaana kimataifa.Mfano mwaka juzi hamornize alipata tuzo ya Afrimma ya msanii chipukizi.Dogo Rayvanny nae mwaka jana alipata tuzo ya BET.
Kwa Mavocco nahisi sasa ndo anaanza kupenya kimataifa zaidi.Ni muda tu Mavocco ataleta tuzo kibao home.
Ni [HASHTAG]#mtazamo[/HASHTAG] wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…