Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Zari umeanza kumfahamu lini?Huyo Zari ndo kwanza karithi biashara za Ivan.Tumpe miaka mitatu hapo ndo tutajua ni best ama nini
Tokea yupo na Ivan,Yaani in short Alikuwa anabebwa na Ivan.Zari hajawahi tafuta mwenyewe.Vyote alivyonavyo ni Ivan alitafuta.Zari umeanza kumfahamu lini?
Kama kitu hukijui ni bora zaidi ukakaa kimya kuliko kujiropokea tu.Tokea yupo na Ivan,Yaani in short Alikuwa anabebwa na Ivan.Zari hajawahi tafuta mwenyewe.Vyote alivyonavyo ni Ivan alitafuta.
Hahaaa mawazo yangu kama yakoHahahaaha wamesahau na category ya Mother of the Year- Mama Mondy
Wewe ndo hujui chochote,umeanza kuijua mitandao baada ya mchina kuanza kutengeneza smart phone.Huyu Zari namfahamu tokea enzi za Hi5.Kama kitu hukijui ni bora zaidi ukakaa kimya kuliko kujiropokea tu.
Bashite ni andagraundi badoWamemsahau Bashite, au yeye ahusiki na Wasafi?
Ungekuwa unamjua Zari usingekuwa unaongea upupu wote huo.Wewe ndo hujui chochote,umeanza kuijua mitandao baada ya mchina kuanza kutengeneza smart phone.Huyu Zari namfahamu tokea enzi za Hi5.
ahahaaaa nimecheka sana.mke wa sangoma .hela za utapeli wa mume sasa hivi hazipo hadi nyumba inauzwa uganda huko.duka la viatu lilishafilisika kitambo alishindwa hadi kulipa kodi. yaani sasa hivi kabaki na diamond tuSasa Zari ana ujasiriamali gani jamani?Alikuwa anahojiwa na Sporah kwenye Sporah show akaulizwa anafanya kazi gani akabaki anajikanyaga mara oh mi ni promota mara oh nina duka la nguo...Kama ni Brooklyn College ameanza kuimanage thisyear baada ya kifo cha mmewe...Hapa kwake kuna uwalakini haki ya nani
biashara zenyewe magumashi hakuna kitu paleHuyo Zari ndo kwanza karithi biashara za Ivan.Tumpe miaka mitatu hapo ndo tutajua ni best ama nini
Na kweli anaishi kwa kushow off insta. Kila siku kupiga picha offisini, Ashukuru Mungu Ivan kafa, la sivyo picha za ofisini angezisikia tu.biashara zenyewe magumashi hakuna kitu pale
toka akose hela ya kumtoa mamake hosptal m55 za uganda ambazo bongo ni kama m 25 nimeona yule dada muongo aisee eti alitoa m 3Na kweli anaishi kwa kushow off insta. Kila siku kupiga picha offisini, Ashukuru Mungu Ivan kafa, la sivyo picha za ofisini angezisikia tu.
Ndo maana kamganda Diamond kwa hali zote, tusubiri mtoto wa Hamisa akizaliwa, maana ni kama zari anawekewa usiku.toka akose hela ya kumtoa mamake hosptal m55 za uganda ambazo bongo ni kama m 25 nimeona yule dada muongo aisee eti alitoa m 3