Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Atakua kaupataMagu kaupata huu ubuyu!?!?
Mkuu, hiki ndio shilawadu kipindi pendwa cha rais wetu??ni kutoka Shilawadu ....yasemekana walichukua gari hilo na kwenda kupiga nalo misele, gari hilo kuonekana mahali flani ikaleta maneno kuwa zari ndio alikuwa viwanja hivyo na mfanyabiashara flani hivi,
AhahahahaaaaaNgada imekuwa ngumu kubeba wanaanza kupunguza mizigo
Mkuu umekusudia kuuliza hili swali au unataka ujibiwe tu?? [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu, hiki ndio shilawadu kipindi pendwa cha rais wetu??
Magu John au Magu yupi?
Nani? Au ninayemfikiria?Hajapiga simu kumpongeza mondi
Ukiwa karibu na mkuu raha sanaNgada imekuwa ngumu kubeba wanaanza kupunguza mizigo
Hajaupata mpelekeeMagu kaupata huu ubuyu!?!?
Tena kabla haujaenda hewani... sawa na Obama alivyokuwa anapelekewa full season ya GoT kabla wengine hawajaiangalia!!!Magu kaupata huu ubuyu!?!?