WCB Wasafi wanaenda kumtambulisha msanii mpya November 2023

Dvoice_ginnii
Dogo anajua sana na kwa pale Wcb naimani atafanya vizuri sana Kwa mziki wake wa singeli
 
Wanainuliwa kutoka chini, wakifika juu wanaanza kuona wananyonywa.

Wasome vizuri mikataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…