G.Man JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 1,040 Reaction score 2,157 Dec 17, 2016 #41 mtoto wa mjin said: Wa kagera vp??.. Click to expand... Hao tulishawachangia mkuu, bila shaka sasa hivi watakuwa wanaishi kama malaika kweny mahekalu yao waliyojengewa na serikali kwa hiyo michango!
mtoto wa mjin said: Wa kagera vp??.. Click to expand... Hao tulishawachangia mkuu, bila shaka sasa hivi watakuwa wanaishi kama malaika kweny mahekalu yao waliyojengewa na serikali kwa hiyo michango!
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Dec 17, 2016 #42 Kiba hapendi show off Tu. Lakini ashatoa misaada zaidi ya Diamond