sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
asilimia mia moja!
!
Duuuh zina ukweli hizi aisee
HahahahahahaahHabari bila picha sawa na pilau bila nyama.
Hahahaha...nimeona youtube ile ni kichapo cha mbwa mwiz
Hao ni waandishi wa habari au taka taka?Waandishi wa habari wamepigwa??
hahahahahaha acha kunichekeshaSafi sana Iyobo kwa kuwafunza adabu wanaume wa dar