WCB wawapa kichapo Shilawadu

Mose ni mtoto sana, kilichonishangaza ni kuona mpaka mkata viuno nae jeuri, sijui angekuwa km Rich Mavoko au Harmonize ingekuwaje? Huyu kajulikana zaidi kwasababu ya mkewe bila hivyo angekuwa undercover km dancers wengine wa WCB.
 
Mkuu warumi huyu Mose Iyobo ni mtanzania, if yes ni mwenyeji wa mkoa gani?
 
Hawa siku wajiroge, wamuhoji KINJE swala lake la Tunda, tutazika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…