WCB-wazee wa kununua tunzo

Wabongo hampendi mafanikio ya wenzenu sana
 
Naona mnajitekenya afu mnacheka wenyewe endeleeni na upuuzi wenu sisi tunawachora tu

#kingkibaforlife#
huwa napata swali hapa.
kwa tuzo ambazo mshindi anatakiwa kupata kura nying zaid, inawezekana vip ikanunuliwa???

mtoa uzi njoo utupe mbinu zinazofanywa
 
Naona mnajitekenya afu mnacheka wenyewe endeleeni na upuuzi wenu sisi tunawachora tu

#kingkibaforlife#
Fani hailazmishwi na mziki mzuri hujiuza mshauri kibakuli aache mashindano ya kitoto afanye mziki
 
Hizi tabia ndio zinazofanya sekta nyingi TZ zisiendelee....huo uTeam wenu wa kipumbavu.
Stupid.
 
Mtakufa kihoro na huyo kiba wenu wenzenu wanapasua anga. Labda afufue upya bifu lake na chibu ndo atasikika ila kwa sasa kwisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…