WCB wote wamemunfollow Harmonize instagram

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Kweli jamaa wanaushamba fulani nimegunduaP
 
Harmonize nyuma ya pazia amewafanyia dharau sana hao Wasafi..kibinadamu ukimfaa mtu wakati hajiwezi halafu akapata akakuletea dharau uwezi kumpenda tena.
kwaiyo wewe unatakaje mama Diamond?
 
Mkuu wale jama usiwalaumu wameanlishwa na uongozi wao ila jama ni wabaya kuliko ata clouds mashetani hasaa ... Wale wengin hawajielewi wakitoka watakufa njaa lazma wafanye walivyoambiwa na uongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…