Uchaguzi 2020 WCB yamwaga mamilioni kwa kigogo CCM

Bado sanaaaaa kwa hadithi hizi........ Kwa kifupi HAIWEZEKANI
 
Hiyo hadithi yako tungeiamini Kama usingemuhusisha diamond na ubunge, diamond amejikita kwenye mziki zaidi na mziki wake unamlipa kuliko hata huo ubunge.
 
Ndefu pumba tupu,umepoteza muda wako bure,wewe ni bure kabisa!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…