My Take: Tukifanikiwa kuwa na sera nzuri na uzalendo na nchi yetu, tukawa na uchungu na resources zetu na kuondoa hawa watu wanaokula 10% katika mikataba na kupelekea kutoa Tax holidays za miaka mingi hakika Africa heshima yetu itarudi. Mungu Ibariki Africa, Wafungue viongozi wetu katika kifungo cha U-MIMI, UNAFIKI na KUKOSA UZALENDO.