Nitafurahi mume wangu akitumia hiyo phrase!
hell no......
Why not? Tena nasikia kuna tudawa twa kuhamishia mimba kwa mume kwa muda! Yaani ikifika miezi kama 8 hivi, nakupa unipokee; ofcourse na ile first trimester ili ule pemba na Maembe dodo mabichi! LOL