Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
Mungu yupi huyo aliyehamishia mapenzi kwa Mataifa?
mkuu MUNGU alisema kuwa siku mtakayo kula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya hakika mtakufa lakini baada ya adamu na hawa kuasi na kwa sababu aliwapenda sana sana sana adamu na hawa ilibidi kiumbe mwingine atolewe kafara badala yao ndo mana unaona kuna mnyama alikufa na alikufa kwa si sababu adamu na hawa walikuwa wanahitaji ngozi tu lakini pia alikufa kwa sababu dhambi ilikuwa imeshatendeka na kifo ilikuwa ni lazima kitokee only that mnyama alikufa badala yao.hivyo MUNGU hakudanganya hata kidogo.maandiko yanasema hapa ndipo adam alishuhudia kifo kwa mara ya kwanza na ilimuuma sana sana moyoni kuona mnyama anakufa na alijutia kosa lake kila alipokuwa akiitazama ile ngozi aliyovikwa iliyotokana na kifo cha mnyama.na utaratibu huu wa kutoa wanyama kafara kwa ajili ya msamaha wa dhambi yako ndipo ulianzia hapa na ulikoma pale ambapo yesu alipokufa badala yetu na ndo mana tunaenda kwake kwa msamaha wa dhambi
mwananthropolojia,
Unaposema Mungu anatuogopa unakua unamaanisha nini?
'
Wewe unadhani kujali ni kuturuhusu kula mti wa ujuzi wa mema na mabaya?
'
Na kama unaona huko ndo kujali,ni kwa mujibu wa nani?
'
Unaouliza maswali ya "kwanini asituruhusu",unakuwa unataka Mungu afanye kama unavyotaka wewe?
'
Unayajua madhara ya ujuzi wa mema na mabaya?
'
Je unaijua nguvu ya damu inapomwagwa kwa madhumuni ya jambo fulani?
Unaamini kipi katika uumbaji? Unajua uhaliasia wa uumbaji na mwanzo wa kuandikwa biblia? And how do you know you are the other people or descendant of Adam? Naona mmestick kwenye Agano la kale. Hebu mje kwenye agano jipya muendeleze hoja zenu za other people.
Mkuu wakati mungu anawaumba adamu na hawa aliwaumba wakiwa wamekamilika sana kiakili na kimwili na hakuna mwanadamu yeyote katika dunia ya leo aliye na uwezo ambao adamu na hawa walikuwa nao wakati wanaumbwa zunguka dunia hutapata kwa hiyo baada ya kula matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya hakuna kitu kilicho ongezeka kwao zaidi ya uovu yaani ile nia ya kufanya maovu ikaingia kwenye mioyo yao.na baada ya kula matunda hayo ilibidi hatua zichukuliwe ikiwa ni pamoja na kuwazuia kuendelea kula matunda ya mti wa uzima ili wasije wakaishi milele .hapa niweke wazi kuwa matunda haya ya mti wa uzima ndio yaliyo kuwa chakula cha adam na hawa bustanini kabla lakini walikuja kuzuiliwa kuyala baada ya kuasi.hapa si kwamba MUNGU aliogopa bali alitaka kumuepusha na taabu ya milele .hivi mkuu unaona watu wanavyotaabika leo ingekuwa wanaishi milele ingekuwaje?mkuu ukitafuta ukweli kwa nia ya kujua utaelewa ila ukiutafuta kwa nia ya kuukosoa utapata kitu
nadhani tustick kwenye maandiko ,maana tukiingiza scientific views about creation ni very different,tukianza hata existance ya Mungu itakua questioned
katika kitabu cha mwanzo kuna creation 2, wale walioambiwa mzaane mkaongezeke mkaijaze dunia na mkatawale viumbe wote na kuna mwingine ambaye aliumbwa akawekwa kwenye bustani ya eden (Babu Adam) ailimelime nadhan kalikua kaproject fulani kalikua kanafanyika, akapewa masharti ya namna ya kuishi,kuvaa na vitu asivyotakiwa kula na ndio kinachomsumbua mpaka leo mara hivi haram mara vile halal
sisi wengine ambao tuliumbwa huko tukaijaze dunia tukawa hatuna sababu ya kufuata visheria vya hapa na pale na ndio mana tulikua na vitaratibu vyetu vya kuishi hatuna waswas wa kuoa wanawake tunaowataka,wawe 10 au 20 twende kazi,tunakula tunachotak kitimoto,mamba,nyoka yote mboga kwetu na ilimradi sio sumu basi si haram.
tunaposema we are the other people ni jambo lililo dhahiri kabsa kwani hatufanan kwenye kula,kunywa,kusali,kuoa nk(culture)na wala hatuna dhambi ya asili ya kula tunda we are perfect since day one na ndio mana tunapata tabu kufuatafuata sheria kwa sababu hatukuumbwa kufollow hizo sheria ,sisi tuna makubaliano yetu na Miungu wetu
NB.Nanukuu maneno ya Bwana Yesu kwenye agano jipya tunaona Bwana Yesu alivyomkatalia yule mdada kumponya kisa hakua myahudi akamwambia 'si vema kuwapa chakula cha watoto mbwa' (Marko 7;24),hebu fikiria kwa sabab ww sio myahudi unaitwa mbwa.halaf soma tena (mathew 7;6) hilo neno mbwa linatajwa akiturefer watu wa mataifa, halaf malizia na maagizo aliyowapa mitume 12 (mathew 10;5)
hapo utajua kwamba yesu hakuja kwajili yetu bali kwa waisrael hata hadithi nzima haituhusu kabisa kwa sababu
WE ARE THE OTHER PEOPLE
nadhani tustick kwenye maandiko ,maana tukiingiza scientific views about creation ni very different,tukianza hata existance ya Mungu itakua questioned
katika kitabu cha mwanzo kuna creation 2, wale walioambiwa mzaane mkaongezeke mkaijaze dunia na mkatawale viumbe wote na kuna mwingine ambaye aliumbwa akawekwa kwenye bustani ya eden (Babu Adam) ailimelime nadhan kalikua kaproject fulani kalikua kanafanyika, akapewa masharti ya namna ya kuishi,kuvaa na vitu asivyotakiwa kula na ndio kinachomsumbua mpaka leo mara hivi haram mara vile halal
sisi wengine ambao tuliumbwa huko tukaijaze dunia tukawa hatuna sababu ya kufuata visheria vya hapa na pale na ndio mana tulikua na vitaratibu vyetu vya kuishi hatuna waswas wa kuoa wanawake tunaowataka,wawe 10 au 20 twende kazi,tunakula tunachotak kitimoto,mamba,nyoka yote mboga kwetu na ilimradi sio sumu basi si haram.
tunaposema we are the other people ni jambo lililo dhahiri kabsa kwani hatufanan kwenye kula,kunywa,kusali,kuoa nk(culture)na wala hatuna dhambi ya asili ya kula tunda we are perfect since day one na ndio mana tunapata tabu kufuatafuata sheria kwa sababu hatukuumbwa kufollow hizo sheria ,sisi tuna makubaliano yetu na Miungu wetu
NB.Nanukuu maneno ya Bwana Yesu kwenye agano jipya tunaona Bwana Yesu alivyomkatalia yule mdada kumponya kisa hakua myahudi akamwambia 'si vema kuwapa chakula cha watoto mbwa' (Marko 7;24),hebu fikiria kwa sabab ww sio myahudi unaitwa mbwa.halaf soma tena (mathew 7;6) hilo neno mbwa linatajwa akiturefer watu wa mataifa, halaf malizia na maagizo aliyowapa mitume 12 (mathew 10;5)
hapo utajua kwamba yesu hakuja kwajili yetu bali kwa waisrael hata hadithi nzima haituhusu kabisa kwa sababu
WE ARE THE OTHER PEOPLE
Unaamini kipi katika uumbaji? Unajua uhaliasia wa uumbaji na mwanzo wa kuandikwa biblia? And how do you know you are the other people or descendant of Adam? Naona mmestick kwenye Agano la kale. Hebu mje kwenye agano jipya muendeleze hoja zenu za other people.
Kuna post yangu iko page ya pili. Naomba mAelezo kwanza ndio tuendelee. Naweza kukiri kuwa we are the other people lakini si to infinity, according to new testament
Siamini chochote katika uumbaji wala uhalisia wake na nachojua kuhusu biblia ni kitabu cha simulizi za hadithi na historia ya watu wa Israel/ wazayuni.
Am the other people because I was not created in a mythical garden, I was not born out of sin rather out of love, I don't believe in heaven and hell, I don't need salvation and am NOT a descendant of Adam, never will I be.
Umeuliza maswali lakini hujajibu swali niliokuuliza Mkuu,
labla swali jingine, kwani Agano jipya lina story gani tofauti na hiyo kuhusiana na uumbaji?
Sidhani kama kutakua na tatizo mtu yoyote akidai kuwa haiamini biblia kwakuwa hakuna anaelazimishwa kuamini
'
Lakini kuipotosha ni jambo lisilokubalika,kama mtu huelewi ni bora ukasema ukaeleweshwa
'
Biblia iko wazi kuwa ameumbwa binadamu Adam na Hawa tu
'
Ni wapi imesema wameumbwa wengine?
'
Upotoshaji wa hali ya juu!
Mourinho ,sijui kama umenielewa
'
Unaweza ukasema kuwa binadamu alianza kuwa jiwe kisha akawa mbwa halafu binadamu
'
Sitakua na tatizo na kauli yako
'
Lakini unaposema kuwa kwa mujibu wa biblia Mungu binadamu alianzia kuwa jiwe kish mbwa ,
'
Hapo nitakua na tatizo na kauli yako
'
Nitakua na tatizo na kauli yako kwa kuwa kwa mujibu wa biblia ni uongo
'
Ni wapi biblia inasema waliumbwa zaidi ya wawili?
'
Ni wapi nawalazimisha watu waelewe kama ninavyoelewa mimi?
'
Unapouliza Cain aliomba asikutane na watu wengine kuwa ni watu gani,kwani baada ya Caini,Adam na Hawa hawakuzaa tena?
'
Je hao hawawezi kuwa "wengine"?