Shayu
Platinum Member
- May 24, 2011
- 608
- 1,655
WE CAN NOT CONQUER OUR POVERTY WITH THE MEAN SPIRIT AND DULL MINDS
Taifa lolote lile litaendelea tu pale litakapo tambua umuhimu wa elimu na kuwekeza huko kwa kiwango kikubwa na litakapojitambua lenyewe. Kujitambua ni kule kujua malengo yao ya pamoja na wapi wanataka kufika kama taifa. Kwasababu ni lazima tuwe na malengo kama taifa.
Hutuko taifa kutafuta mkate; ni lazima kuwe na goal tu commit ourselves. This commitment produce courage na courage ni muhimu kufikia malengo yetu kama taifa. Let us not fear anything. We can not conquer poverty with the mean spirit. We must commit ourselves to a goal. Ni lazima tutumie akili zetu na nguvu zetu kuondokana na hali hii! Ni lazima tuwe wamoja na tujenge mfumo wetu upya wa elimu huu haufanyi kazi vizuri.
Kama madhumuni ya elimu ni kumuongezea uelewa na maarifa binadamu na kumfanya kujitambua, kutambua mazingira yake, kutengeneza tabia yake na mahusiano yake na jamii, kumfanya awe na nidhamu na awe mwenye faida kwa umma na kwa jamii, bado kwa kiwango kikubwa; hatujafanikiwa katika dhamira hii kwakuwa dhumuni la kuwa na taifa sio tu ni kupata faida za kimali bali pia kujenga mahusiano yetu na mashirikiano yetu kama binadamu na muhimu kuliko yote, faida ya pamoja inayopatikana kwa watu kuishi katika jamii na katika taifa.
Mafanikio ya pamoja ya taifa ni muhimu kuliko mafanikio ya mmoja mmoja, haya ndiyo huleta furaha kwa taifa. Tunahitaji kuona taifa hili sio kutoka katika umaskini tu bali kuwa taifa kubwa duniani. There is only ''two options'' Tuamini tulifanyie kazi au tusiamini tuendelee katika umaskini wetu. Lakini kutokana na ushahidi dhahiri machoni kwetu hili linawezekana kwasababu binadamu wenzetu wameweza sio jambo geni.
Kwahiyo ni lazima tujiulize tunataka kujenga vijana wa namna gani katika taifa letu. Aina ya vijana tulionao ndio watakao amua baadae ya kesho ya Taifa hili na mwelekeo wake. Ni muhimu kujenga tabia za vijana wetu ambazo zitakuwa na faida kwa taifa. Baadae ya taifa hili kwa kiwango kikubwa inategemea vijana wake. Elimu yao, maarifa yao na busara zao. mwelekeo wa akili wa vijana wetu ndio utakao amua baadae ya taifa hili. Swali la kujiuliza jinsi gani tunatumia nguvu kazi tuliyonayo ili kujiletea maendeleo yetu?
Tunahitaji kuji organize kama tunataka maendeleo, tunahitaji kuwa na dhamira ya dhati ya kuona kwamba tunaendelea, tunahitaji kiongozi ambaye ataleta mwamko kwa jamii na umoja katika taifa. Vijana wako energetic wakati wote naamini wako tayari kulitumikia taifa lao na kuliona likiendelea. We only need a leader ambae atatuondoa kwenye maisha ya kijinga tunayoishi . Haya maisha tunayoishi ni ya kipuuzi ni lazima tuungane tupambane na changamoto zinazotukabili.
Watu wote ambao ni vijana naomba niwaambie kitu kimoja; Mwelekeo wa taifa hili uko mikononi mwetu, kama tuna hamu ya kuona siku moja hili taifa likinyanyuka kutoka hapa lilipo na kuheshimiwa. Hatuwezi kukata tamaa kwasababu elimu yetu haijatutayarisha vizuri, lakini tuna wajibu huu sisi wote kuona taifa hili likiwa moja na likiendelea. Nawaambieni ukweli taifa hili linauwezo wa kuwa kama taifa lolote lingine lile. Ni kubadilisha mwelekeo wa mawazo yetu tu. Raia wote wa taifa hili wana wajibu wa kuona hili taifa likipata maendeleo na likiendelea kuwepo kwa vizazi vingi. Kama tutafikiria kulijenga taifa hili kama sehemu pekee tunayoita nyumbani na kama tukiwa wazalendo kwanini tusiendelee?
Watu wetu ni lazima wawe na mwelekeo huu kwa taifa lao. Uzalendo ni ufunguo wa maendeleo wa taifa lolote. Leo hii tunazungumzia kizazi kisichokuwa na uzalendo na jamii isiyounganishwa katika malengo ya pamoja. Hii sio hali nzuri katika taifa. Tuna matatizo katika taasisi zetu mengi tu ambayo yanaonyesha upungufu wa uzalendo katika taifa. The whole social structure haipo vizuri inatakiwa kuwa reformed. Ukweli ni kwamba hatuwezi kujenga taifa hili katika ubinafsi khalafu tukabaki salama. Ni lazima tuangaliane kama raia wa nchi moja na tuwe tayari kutumikiana. Ni lazima tujenge jamii ambazo zimeunganishwa na malengo ya pamoja ni lazima tuwe responsible citizens not just ''citizens'' .
Hii hisia ya mtu kwa taifa lake kutaka kuona likiendelea ndio chachu ya taifa lolote kupiga hatua kimaendeleo. Na ni uhakika ya kwamba tutaendelea kama tukiwa wamoja kuliko tukijitenga. Leo hii tunaona mfumo wa kijamii uliosambaratika na sio jamii iliyoungana kwa malengo mapana ya pamoja. Kama kweli tuna kiu ya maendeleo tutaendelea; lakini ni kama tu tukiwa wamoja na tukielekeza nguvu zetu na akili zetu kwenye ujenzi wa taifa hili. Kiongozi mzuri ni yule anayewaunganisha watu wake kufanya kazi kwa faida ya pamoja.
Ni lazima tujenge jamii inayofanya kazi kwa pamoja ili tuweze kukabiliana na changamoto nyingi zinazotukabili. Ni lazima tujenge familia zetu katika utaifa na katika uzalendo tuna upungufu huu. Ili tuendelee ni lazima tulipende taifa letu na tupendane sisi kama raia wa taifa moja. A well organized society will always win the future. Kwahiyo ni lazima tuelewe hili; Taifa ni lazima lisomeshe watu wake ili wasongeshe taifa hili mbele na sio kwaajili ya manufaa binafsi. Jamii ni bora kuliko mtu. Ni lazima tujenge kuwajibika huku kwa jamii.
Elimu kwa watu wetu ni muhimu sana ili taifa hili liendelee. Elimu ambayo itawafanya kupata uelewa wa kuendesha taifa hili vyema elimu iliyojengwa kwenye uzalendo na wajibu.
Siasa tulizonazo sasa hazijatusaidia na kamwe hazito tusaidia. Hazitaweza kulinyanyua taifa hili na target ya taifa lolote ni kuwa a world empire hata kama itachukua vizazi vingapi. Na hii inawezekana kama iliwezekana kwa Marekani, ugiriki na uyunani wao ni binadamu kama sisi. Ni kujitayarisha tu na kuwa tayari.
Our commitment toward this nation is great problem kwa raia na kwa viongozi ni lazima tubadilishe hili. Kama tunataka kuendelea ni lazima tunyanyue hili jambo.
Kama tutaweza kuji organize na kama tutaweza ku manage natural resources zetu na kama tutakuwa waaminifu kuna uwezekano wa taifa hili kuendelea haraka. Kama kwa vizazi vyetu tuta ji commit kwa hili taifa there is great promise for us. Hatutaweza kuendelea pasipo kufanya kazi, pasipo kutafuta maarifa na kusoma na kama hatutakuwa na jitihada za pamoja. Jambo la muhimu katika haya yote ni nidhamu. Nidhamu itatufanya tu focus katika malengo yetu kama taifa tukiwa wamoja.
Siasa tulizo nazo hazina faida kwetu kama taifa ni lazima tubadilike, ni siasa tumbo. Ni muhimu kuziacha na kuwa na fikra pana za ukombozi. We can not conquer our poverty with the mean spirit and dull minds.