We CHADEMA, umepiga pigaje hapo?

Mimi mpaka leo dijaelewa, hayo maandamano yalihusu nini?
Na hutaelewa sababu kuna upande ambao umechagua kufikiria! Matamanio yako hayajitimia kisa tu watu flani wataandamana ukajawa na chuki ukaunyima ubongo wako nafasi ya kufuatilia nini hasa dhamira au takwa la maandamano husika! Ndio mana unakuja na rhetoric questions kama hii
 
Ukiwa mtu wa kutoamini sana utaishi kwa kuchagua ambayo hukupaswa kuchagua
Wengi mlitaka kuona vurugu ndomwamini basi haya ni maandamano
 
Kuelewa nako kunahitaji kufikiri?

Au kujazwa ujinga?
 
Mkuu, hukati tamaa tuu? Usiwe kigeugeu.
 
Kuelewa nako kunahitaji kufikiri?

Au kujazwa ujinga?
Naam bila kuhusisha sehemu ya kufikiri huwezi kuelewa. Unapokua hujafikiri unakua umejijaza maarifa yasiyo sahihi kuhusu jambo husika. Na huo ndio ujinga and that is what you have now! Ndio maana umeuliza swali la kijinga
 
Kuelewa nako kunahitaji kufikiri?

Au kujazwa ujinga?
Thinking is an essential process for humans. It allows us to solve problems, learn new information, understand concepts, and process our experiences. Thinking involves the entire process of learning, remembering, and organizing mentally to understand the information better and recall it later.
 
Unajiskiaje lakini baada ya kukesha kwenye key boards na negativity juu ya public demonstration ? Be honest
to be honest ni aibu mtu nzima kama wewe kuishi nyumbani kwa wazazi inasikitisha sana,

mawazo hayabadiliki, kudeka hapaishi muda wote unahisi kuonewa na kuitaji huruma 🤣
 
Angalia usije kujinyea...unaota bila shaka
Tatizo kubwa la wabongo ni kutaka kila mtu aamini unachoamini wewe.

Kuhusu kujinyea, hiyo ni tabia yako wewe binafsi sababu ya kuingiliwa kinyume na maumbile.
 
Fanyeni kazi porojo haziwezi wasaidia
 
CDM walisukuma, Mama akasimamia msimamo wake hivyo polisi wakapewa maelekezo. Lango likafunguka, maandamano ya amani yakafanyika. Ukurasa mpya umefunguliwa. Wabaya wa cdm wameingia kazini kimsingi CDM wamefanya kazi nzuri, mapambano yaendelee. Porojo lukuki zimehadhirishwa kuwa uongo na utumizi wa vyombo vya dola vibaya umedhihirika. Je bunge linasimia wapi, wana mioyo ya kwenda na 4R au ndio basi tena.?
 
Mbowe ana akili na pesa kuliko ukoo wenu mzima jumlisha na ukweni kwenu kote mlipooa / kuolewa wewe na ndugu zako, acha kumlinganisha na ujinga.
 
Kunywa maji kwanza
 
Kitu aliachofanikiwa Mbowe ni kuwashikia akili Bavicha anajua kucheza na akili za mateka wake kaja na watoto wake kwenye jogging Bavicha kwo ni ushujaa🤣
 
Mimi naona maandamano yalisetiwa kabisa wanasiasa watu wabaya sana! Viongozi wa CHADEMA na CCM ni wahuni, haya maandamano ni unafiki
 
Mfa maji
 
Mbowe ana akili na pesa kuliko ukoo wenu mzima jumlisha na ukweni kwenu kote mlipooa / kuolewa wewe na ndugu zako, acha kumlinganisha na ujinga.
Lazima uhisi hivyo juu ya pesa za Mbowe ukilinganisha na ufukara wako wa kuishi kwa shemeji yako.

Sio lazima kila mtu aamini mnachoamini nyinyi.
 
Lazima uhisi hivyo juu ya pesa za Mbowe ukilinganisha na ufukara wako wa kuishi kwa shemeji yako.

Sio lazima kila mtu aamini mnachoamini nyinyi.
Mkuu najitegemea kwa kila kitu, kazi nzuri na mitikasi mikubwa na ya maana ambayo wewe na kizazi chako pengine mnahitaji nguvu kubwa sana kupata au msiipate mpaka mnakata moto.

Kama wewe sio lazima kuandika pumba na kuaminisha watu tuhuma za kitoto na kipuuzi ulizoandika. Chako ndio kiaminiwe sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…