Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,256
- 44,597
I'm hesitant to admit this, but when people feel cornered and desperate, and believe their very existence depends on maintaining power, they can resort to doing harm.Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kweli wataua tena; wameonja damu na wameongezeka hamu! Wanajua sasa hivi hawawezi kutawala tena kwa hoja; isipokuwa hoja za risasi na visasi!
Hongera kwa kurudisha uandishiNa. M. M. Mwanakijiji
Ni kana kwamba Oktoba 29 haikutokea. Wanaendelea kutenda kana kwamba yaliyotokea siku ile ya giza ni mambo tu ya kufikirika. Wanaendelea kutenda kana kwamba tunawaonea, tunawasingizia na kuwa yote yanayosemwa ni uzushi tu uliopitiliza. Wanajitahidi kupuuzia, kutokujali na kutenda kana kwamba damu waliyoimwaga si ya Watanzania.
Ndio ninachoogopa....soon magenge ya kulipiza visasi yataanza kaziBahati mbaya zaidi kwasasa vijana hawaogopi risasi tena.
Sababu hazitapigwa kama siku ileBahati mbaya zaidi kwasasa vijana hawaogopi risasi tena.
Kisasi lazima kitalipwa tu ni swala la muda. Mwenyewe hao wenye uniform wakikaa vibaya namrushia hata mateNdio ninachoogopa....soon magenge ya kulipiza visasi yataanza kazi
WAsije kudhania ni wao peke yao wanaweza kuwa na vikundi vya magenge haya; wanataka tufike ilikofika Zanzibar... watu wasile pamoja, wasizikane, na kususiana kila kitu. Hadi walazimishe "muafaka" mpya.Ndio ninachoogopa....soon magenge ya kulipiza visasi yataanza kazi
Unafikiri tatizo ni kwa wanaotaka kuandamana tu; ni kana kwamba unaamini serikali haina makosa. Wakati wa utawala wa makaburu kuna watu walikuwa wanafaidika na utawala ule; hawakuwa tayari kuoneshea kidole; usikate tawi ulilokalia. Na makaburu waliua bana...Naam
Nadhani unafahamu kitakachokwenda kutokea kwahiyo ilikuwa ni busara kuja na njia mbadala ya kusuluhisha haya mambo ili yaweze kuisha
Kutunishiana misuli kwa kuwaweka chambo watoto wa masikini mnakosea sana na hakika mtakuja kulipa hili
Kifo hakijawahi kuwa suluhisho la tatizo lolote watu tunaoshindana nao hatuwawezi kwa namna yoyote
Kila mwananchi anaelewa system ya Government ilivyo so haina haja ya kila dakika kuanzisha mathread ya kuchochea maaandamano
Hii inaonesha kwamba kuna watu ni wanufaika wakubwa wa haya maandamano, kuna watu ndo wanapopatia ugali wao that's why hawataki option nyingine yoyote zaidi ya hii waliyoichagua
Watanzania inatakiwa tuamke sio kila jambo ni la kubeba tu kama matahira tunashindwa hadi na kunguru ambaye akiona umeshika manati atakimbia eneo hilo kwa sababu anajua madhara yake
Kumshawishi raia masikini aende barabarani akiwa hana silaha yoyote ya moto huku mkijua kabisa atakachoenda kukutana nacho ni dhambi moja kubwa sana na hakika mtaenda kuchomwa motoni
Hao kina Hilda na Maria Sarungi wanashindwa nini kutoka Kenya huko kuja kuungana na wenzao huku kupamabania nchi yao.Wao ndo wanajiita mashujaa wa keyboard na kuna nyumbu za Tanzania zinaingia kweli barabarani aisee
Boniface Mwangi mwanaharakati maarufu Kenya kipindi cha maandamano ya Gen Z wa Kenya wala yeye hakuhamasisha akiwa Uganda au Tanzania bali alikuwa palepale Kenya na siku ya maandamano alikuwa front vile ndo inatakiwa
Kuna yule Aunt Lulu kabla ya kukengeuka alishawahi kukiri kuwa analipwa Milioni mbili kwa mwezi na Sativa kwa ajili ya kupost harakati tu hii inaonesha kuna pesa wanapata kupitia hayo mambo
Tunaizika nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
Ha ha ha Mimi juzi nilikutana na Polisi nilimkata jicho Kali mpaka ajishitukia mwenyewe.Kisasi lazima kitalipwa tu ni swala la muda. Mwenyewe hao wenye uniform wakikaa vibaya namrushia hata mate
samuya ametengeneza tanzania ya ajabu ajabu sanaNdio ninachoogopa....soon magenge ya kulipiza visasi yataanza kazi
Serikali ina makosa pia na wameshakiri wenyewe wamekoseaUnafikiri tatizo ni kwa wanaotaka kuandamana tu; ni kana kwamba unaamini serikali haina makosa. Wakati wa utawala wa makaburu kuna watu walikuwa wanafaidika na utawala ule; hawakuwa tayari kuoneshea kidole; usikate tawi ulilokalia. Na makaburu waliua bana...
Kisasi ni ibadaKisasi lazima kitalipwa tu ni swala la muda. Mwenyewe hao wenye uniform wakikaa vibaya namrushia hata mate
Magufuli alivyoua na kukandamiza watu ulifurahia sana!! Huna moral ethics za kuzungumzia tena haya mzee mpumbavu!!Na. M. M. Mwanakijiji
Ni kana kwamba Oktoba 29 haikutokea. Wanaendelea kutenda kana kwamba yaliyotokea siku ile ya giza ni mambo tu ya kufikirika. Wanaendelea kutenda kana kwamba tunawaonea, tunawasingizia na kuwa yote yanayosemwa ni uzushi tu uliopitiliza. Wanajitahidi kupuuzia, kutokujali na kutenda kana kwamba damu waliyoimwaga si ya Watanzania.
Tunaambiwa katika kutetea kiti chake Rais aliidhinisha ubakaji, ulawiti wa watoto wetu na zaidi mauaji. Mwenyewe kasema "nguvu iliyotumika" inaendana na tishio lililokuwepo. Ati wangetumia nguvu kidogo wangeondolewa kwa mapinduzi (msisahau chama kinaitwa ni 'cha mapinduzi'). Kama walivyofanya kabla ya Oktoba 29 walitoa vitisho na mikwara ya nguvu na kweli kabisa wakaenda kutekeleza walichokipanga kiwe funzo kwa yeyote atakayewapinga.
Miili tuliyoiona imezagaa, picha za video na za kuganda tulizoziona za watu waliouawa kinyama na kuachwa hadharani kama vibudu vyote hivyo ni makosa ya Mange, Maria Sarungi, na wanaharakati. Kwamba, watu walioko Tanzania wanatakiwa kupiga makofi kila wakubwa hawa wanapopita, walioko Tanzania hawatakiwi kusema siyo kwa jina letu. Walioko Tanzania tunaambiwa ni lazima wakubaliwa kutawaliwa bila kujali wanavyotawaliwa. Mauaji ya Oktoba 29 ilikuwa ni "fanya fyoko ukione"; watawala wetu hawa walioshindwa wanarudia tena - 'fanyeni fyoko muone kama hatutawachinjilia mbali".
Wanatukumbusha vikundi visivyo vya serikali kama kule Sudan na sehemu nyingine ambavyo vilishiriki mauaji ya wananchi wao kwa jina la kuitetea serikali. Tunawasikia wengine wanajitokeza na kupiga mikwara kuwa wako tayari kuitetea serikali; hawa wanaweza kupewa silaha, za moto na za jadi kuingia mitaani kuua. Kama ilivyotokea Oktoba 29 hawa wauaji wa serikali hawahitaji kujitambulisha; vitambulisho vyao ni bunduki, alama zao ni bastola!
Ni kweli wataua tena; wameonja damu na wameongezeka hamu! Wanajua sasa hivi hawawezi kutawala tena kwa hoja; isipokuwa hoja za risasi na visasi! Zamani waliposhindwa hoja walikuwa wanaleta vihoja; sasa wameshindwa hoja kwa kasi sasa wanaleta risasi na visasi. Tunawathubutisha tena! Ueni tena wananchi wetu; jitangazeni mipango yenu, semeni kuwa mnaenda kuua tena kama mlivyofanya hadi Watanzania wote wasalimu amri!
Hawa wamenza kufanana na utawala ule dhalimu tuliowahi kuuona katika bara letu la Afrika; wamefanana kila kitu isipokuwa rangi tu. Watawala hawa wanataka kutawala kwa kuua; na niwe wa kwanza kutabiri baada ya mauaji yaliyopita na haya yajayo; Samia hatoweza kutoka madarakani; na hatoachwa atoke madarakani na watu wanaomtegemea kuwalinda. Sasa hivi naamini kuna uwezekano wa asilimia 99 watakapopendekeza Katiba Mpya wataondoa ukomo wa madaraka (term limits) ili Samia aendelee baada ya 2030. Atoke achekwe?
Lakini vyovyote vile ilivyo, kuelekea Disemba 9 wao ndio wanauamuzi wa kufanya; watoke waue tena mamia wengine au watafute hekima ya jinsi gani kudifuse the situation. Lakini kwa vile wameshajawa na roho ya ubabe na kuwa wanataka kulinda "dola" aka familia na maslahi yao uwezekano wa wao kurudi nyuma ni sifuri. Kweli hawa wanaweza kuua tena; lakini wajue kuwa wao wameshajifunza kuua na Watanzania wamejifunza kufa kwa ajili ya nchi yao.
Ila waue tena; ili waharakishe mwisho wao. Imebidi nifunge safari ya ghafla kuja kufuatilia ya mambo ya Disemba 9; tunakusanya ushahidi vizuri zaidi sasa kuliko ile Oktoba 29. We double dare them.. do it again. Please.
D9 ni ngumu kufanikiwa ktokana na BAD TIMING pamoja na kuvaliwa njuga na Maria Sarungi, ambae ni COMMERCIAL ACTIVIST.Na. M. M. Mwanakijiji

Hakuna sehemu serikali imekili kukosea ndio maana tunaenda tena kuwajaribu kuwawajibisha kwa njia ngumu.Serikali ina makosa pia na wameshakiri wenyewe wamekosea
Suluhisho gani la maana na la kudumu litapatikana kwa kumtishia yule ambae unataka msuluhishwe nae?Naam