We Double Dare Them: Do it Again...Tunawathubutisha! Fanyeni Tena...

Kuna njia gani nyingine mbadala uliyoona wanaitaka? Je, kwa yaliyotokea oktoba 29, ni kweli kabisa hadi sasa hakuna aliyetakiwa kuwa ama amewajibishwa ama amejiwajibisha?

Kuna wakati kiburi hakijengi na sugu aliwahi kuimba kuwa kiburi dawa yake jeuri. Acha wanayoyataka yatokee
 
Which room are you talking about mkuu ? Enough is enough. Tangu tumeomba reform ile ni room l . Wangekubali tungekua na uchaguzi huru na wa haki mambo ya October 29 isingetokea. SASA HATUWEZI KUONGEA NA MTU ASIE TAKA KUTUSIKILIZA huoni kua wameziba masikio kabisa .
 
Ha ha ha Mimi juzi nilikutana na Polisi nilimkata jicho Kali mpaka ajishitukia mwenyewe.

Nikipata nafasi ya kulipa KISASI nitalipa haraka
Hatutaki kuishi kwa kulipiza kisasi; tunachotaka ni kuhakikisha kuwa tunaishi kwa uhuru katika nchi yetu; tusiishikwa hofu ya kupigwa, kutekwa, kubakwa na kufanyiwa kila aina ya ubaya kwa sababu tu kuwa tuko kinyume nao.
 
Unajua kuna watu wanafikiria - kwa makosa kabisa - kuwa kupigiwa saluti na ving'ora ndio uhalali wa kutawala. Hakuna uongozi ulioingia katika mazingira ya kukosa uhalali (illegitimacy) kama huu wa Samia. Sasa ili wawe na uhalali wanataka kuishi kwa risasi. Cha kuudhi ni kuwa badala ya kuwalaumu walioua watu wanawalaumu watoto na vijana walioandamana kuipinga serikali.
 
Magufuli alivyoua na kukandamiza watu ulifurahia sana!! Huna moral ethics za kuzungumzia tena haya mzee mpumbavu!!
ungetolea mfano wa hili basi angalau ungekuwa na uhalali wa kuninyoshea kidole. Kama unahalalisha mauaji ya sasa kwa sababu Magufuli "aliua" sijui unawezejaje. Sikumbuki wakati wowote serikali ya Magufuli ilimwaga risasi mitaani, kubaka na kulawiti watoto wetu, na kurundika miili katika mahospitali. Nasubiri unitafutie angalau kavideo kamoja kama polisi wakati wa Magufuli wakimwaga risasi mitaani hadi kwenye majumba ya watu. Nakaa nasubiria.
 
Walikiri kukosea wapi? Labda miye nilimiss.
 
Lissu alirushiwa Risasi na Samia? Mzee mjinga
 
Serikali Gani mkuu iliyokiri kuwa imefanya kosa kuwauwa watoto na wazazi wetu, au unaongelea serikali iliyongea na wazee juzi na kujinasibu kuwa ilitumika nguvu nzuri kuwauwa watoto wetu ili kulinda utawala wake?

Au unaongelea serikali ile iliyokataa kutambua ni watanganyika wangapi wamekufa ila inataka kutambua idadi ya miundombinu iliyoharibiwa na waandamanaji ?

Pengine labda unaongelea ile serikali iyoyaambia mabeberu tumeuwa watu wetu hatujauwa watu wenu ,who are you?

Na huenda unaongelea serikali ile iliyosema" ndio tumewauwa na kuwajeruhi watu wenu"na baadae kudai kuwa kwanini hamkuwazuia watoto wenu wasiende kuandamana wakati wengi ya waliouwa walifuatwa majumbani?


Mimi nadhani unamaanisha serikali ile iliyochoma miili ya watoto wetu na wengine kuzikwa kwenye makbaburi ya haraiki?

Haijaisha hadi iishe, mwambie Samia haramaliza miaka yake mitano,
 
Dunia inawatu wapumbavu hii,kabla ya uchafuzi wenye akili walijitokeza kuiomba serekal haramu ikae na watu tuongee ili nchi isichafuke,saivi nchi ishachafuka unakuja na porojo zako watu waongee,basi tuambie ww hii serekali haramu itakaa na nani iongee nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…