joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Leta hiyo maktaba hapa, all I know is that you are king of rumours. You're talking about maktaba wakati mahindi kutoka Tz umekwama pale Namanga na Mombasa.
Hehehe hiyo ndio mkataba? Kumbe hii gazeti haidanganyi, you're more than stupid.
Wewe unaishi dunia gani?, hata taarifa muhimu kama hizi huzijui?
Pumbavu wewe, Mimi ninazungumzia mkataba sio maktaba, sasa hao wanafanya nini hapo kama sio kuingia makubaliano ya kuuziana mahindi na unga kwa niaba ya nchi zao, hivi kweli unajua hata maana ya " mkataba", ulitaka kuona magunia ya mahindi yapo hapo mezani?.Hehehe hiyo ndio maktaba? Kumbe hii gazeti haidanganyi, you're more than stupid.View attachment 1166683
Who are you to say that, while Uhuru Kenyatta agreed to buy flour and maize as it is supported by your Principal secretary for Agriculture who signed that agreement?. Remember "a hungry stomach can't fight"It's a big shame we have to import maize every year. But I swear Kenya will never buy flour from any country in the world. Kwani Tz think they have Monopoly for maize in the world... Tz is always considered because of proximity to Kenya nothing special about them.
You haven't answered my quiz, mbona mahindi kutoka Tz are being blocked at Namanga border and Mombasa?Pumbavu wewe, Mimi ninazungumzia mkataba sio maktaba, sasa hao wanafanya nini hapo kama sio kuingia makubaliano ya kuuziana mahindi na unga kwa niaba ya nchi zao, hivi kweli unajua hata maana ya " mkataba", ulitaka kuona magunia ya mahindi yapo hapo mezani?.
Where is the agreement?Who are you to say that, while Uhuru Kenyatta agreed to buy flour and maize as it is supported by your Principal secretary for Agriculture who signed that agreement?. Remember "a hungry stomach can't fight"
Who are you to say that, while Uhuru Kenyatta agreed to buy flour and maize as it is supported by your Principal secretary for Agriculture who signed that agreement?. Remember "a hungry stomach can't fight"
The guy is a professional liar. Akirudi mwambie good night.Do you have a copy of what was signed ama ni mdomo???
Kenya can never import processed flour,you can take this to the bank.
Adanganye wajinga..The guy is a professional liar. Akirudi mwambie good night.
Is agreement palpable?Where is the agreement?
So our customers need to be treated the way we like? It would be good to discuss with the customers for getting quality and satisfying services for dear customer.
Hahahaha, hahahaha, acha kuchekesha watu aisee. Government is responsible for protecting its people including farmers from exploitation, remember by value addition within the country means more jobs and more money for farmers and Government.
Acha swali mob, show us the agreement Mr. Know it all.Is agreement palpable?
Tatizo wewe hufuatilii mambo, yaani ni kama mtoto mdogo wa kindergarten. Hilo swali muulize Uhuru Kenyatta au huyo Prof. Hamisi Boga ambaye yupo hapo anaomba Mahindi kwa niaba yenu, wakati malori yamezuiliwa mpakani, sasa Mimi linanihusu nini?.You haven't answered my quiz, mbona mahindi kutoka Tz are being blocked at Namanga border and Mombasa?
What is an agreemen?Acha swali mob, show us the agreement Mr. Know it all.
We were talking about flour here not maize. Where is the agreement you talking about eti tutanunua unga from Tz?. We can only buy the grains and not flour, Good night.Tatizo wewe hufuatilii mambo, yaani ni kama mtoto mdogo wa kindergarten. Hilo swali muulize Uhuru Kenyatta au huyo Prof. Hamisi Boga ambaye yupo hapo anaomba Mahindi kwa niaba yenu, wakati malori yamezuiliwa mpakani, sasa Mimi linanihusu nini?.
Lakini hiyo ni dalili ya kuonyesha kwamba Kenya is a failed state. Inawezekanaje viongozi wa serikali wa ngazi za juu wanakuja kuomba mahindi, wakati wafanyakazi wa ngazi za chini wanazuia. Kenya is a confused country.
What is an agreemen?
What is an agreemen?
Tatizo wewe hufuatilii mambo, yaani ni kama mtoto mdogo wa kindergarten. Hilo swali muulize Uhuru Kenyatta au huyo Prof. Hamisi Boga ambaye yupo hapo anaomba Mahindi kwa niaba yenu, wakati malori yamezuiliwa mpakani, sasa Mimi linanihusu nini?.
Lakini hiyo ni dalili ya kuonyesha kwamba Kenya is a failed state. Inawezekanaje viongozi wa serikali wa ngazi za juu wanakuja kuomba mahindi, wakati wafanyakazi wa ngazi za chini wanazuia. Kenya is a confused country.