We jifanye ooh "Mimi bongo bahati mbaya " wakati ulipitia haya yote

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Kama wewe hukupitia hizi mambo basi mwenzetu ulikosa uhondo..Kwa tuliosoma shule zetu zile msijifanye mmesahau
hebu tujikumbushe kidogo.....
(Kwa sauti ya kale kawimbo)

a b c d e f g h i j k ELOMENO p q r s t u v w x y z
Turudie tena. ..ELOMENO, p, q, r, s, t.........
Sahz unajifanya mjaaanja...
Eti Bongo bahati mbaya.....

πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

By Deadbody
 
u
nanikumbushe enzi hizi ukiniulize unataka kuwa nani nakujibu RUBANI sasa hivi nina mpango wa kwenda songea kulima
 
Hata wimbo wa taifa "Mungu ibariki Tanzania + Uhuru na U1" Badala ya Dumisha.[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…