DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hata Kama nasaa zao hazibebi mwonekano wao hiyo isiwe sababu ya kuyadharu maneno yao kwani mara nyingi ili uitambue njia vizuri ni busara kuwauliza wanaorudi na hata tukipata Muda Mwingi wa kuishi hatutoweza kuusimulia mwisho wetu Bali tutausimulia Mwanzo wetu ,Basi ukibarikiwa wabariki na wengine
Ukivushwa na wewe wavushe na wengine
Ili mwisho ukumbukwe kwa Mazuri maana sauti uzisikiazo nyingi si za furaha Bali ni vilio
Mwisho wa Kazi hii duniani nikuvishwa taji.
JumaaMubarak
Ukivushwa na wewe wavushe na wengine
Ili mwisho ukumbukwe kwa Mazuri maana sauti uzisikiazo nyingi si za furaha Bali ni vilio
Mwisho wa Kazi hii duniani nikuvishwa taji.
JumaaMubarak