Aviero 25
Member
- Jan 15, 2022
- 29
- 60
Guys.
Najuwa wengi tunapitia changamoto ya udhaifu wa uchumi lakini naomba kuongea na wewe kijana unae waza na Kufikiria nini ufanye na wapi uanze[emoji26]., anza apo apo na kwa icho ulichonacho..
Maisha hayajawahi kuwa perfectly kwenye kila kitu, na naomba niongee kitu apa yoyote anae kudharau ama kukuchukulia poa now, just mpe muda tu.
So kuwa na mindset ya namna hii kwenye mazingira yoyote unayopitia na pia elewa kuwa kwenye situation yoyote ile kuna opportunities you just look at different others. Think out of the box 😎
Make sure everyday una develop your strong mentality [emoji123] [emoji122]...