Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Habari wanajf
napenda kujua maana ya maneno haya "tunapendana sana ( We love each other)"
mtu ana mpenzi wake na wanapendana sana lakini anakwambia kwamba gf/bf wangu nina wasiwasi ana mahusianao nje.
sasa najiuliza kwa watu wanaopenda sana inakuwaje unamtilia shaka mwenzako kwamba ana mwingine si mnapendana sana sasa huyo mwingine anatoka wapi? sasa hapo upendo uko wapi?
Nakumbuka wimbo wa zamani wa LADY JADE ulikuwa unasema "Usiusemee moyo"
nilikuwa nafikiri bora kusema nampenda mke/mume wangu au g/f na b/f kuliko kusema tunapendana
tafadhali naomba mawazo yenu
ni kweli!! ni vibaya kuusemea moyo unaweza kufa kwa pressure kama si kisukari!!
hapo sasa na wakati huo dawa ya babu wa Loliondo itakuwa imekwisha
Maneno mengine matendo mengine mwaya
Mbona mimi kaka yako nakupenda kimaneno na kivitendo l.o.lmimi nafikiri kupendana hakumaanishi everything is perfect.....ila kwa namna anavyofahamu anayesema hilo laweza kuwa sahihi.....kama mtu hajakupa sababu ya kuona kwamba pengine hakupendi sioni kwanini upate shida kusema tunapendana.....kuna satisfaction fulani wanapata ndo wanafikia kusema hivyo......!!!
Yaani wewe kila sehemu nikianza nawe unabana hapohapo lol! na signature hapo chini kama inakusuta vile.Mbona mimi kaka yako nakupenda kimaneno na kivitendo l.o.l
Home boy kwanza habari yako banaa, ahaa ahaaa mimi sina hiyana naweza kukuachia sista yangu ila approval bado kwahiyo bado nakuweka pending l.o.lYaani wewe kila sehemu nikianza nawe unabana hapohapo lol! na signature hapo chini kama inakusuta vile.
Habari wanajf
napenda kujua maana ya maneno haya "tunapendana sana ( We love each other)"
mtu ana mpenzi wake na wanapendana sana lakini anakwambia kwamba gf/bf wangu nina wasiwasi ana mahusianao nje.
sasa najiuliza kwa watu wanaopenda sana inakuwaje unamtilia shaka mwenzako kwamba ana mwingine si mnapendana sana sasa huyo mwingine anatoka wapi? sasa hapo upendo uko wapi?
Nakumbuka wimbo wa zamani wa LADY JADE ulikuwa unasema "Usiusemee moyo"
nilikuwa nafikiri bora kusema nampenda mke/mume wangu au g/f na b/f kuliko kusema tunapendana
tafadhali naomba mawazo yenu
humu JF ni Maraha TU!
Ila naogopa kijana wangu nae amekua member humu JF.
humu JF ni Maraha TU!
Ila naogopa kijana wangu nae amekua member humu JF.