We mama hutosheki? tokea TANU hadi CCM?

We mama hutosheki? tokea TANU hadi CCM?

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
1,002
Reaction score
277
Hii nimekutana nayo sehemu fulani hivi akina dada walikuwa wanamchamba mama mtu mzima ilivyoonekana huyo mama anapenda vijana.Hivyo hao dada walikuwa wanamwambia hukufanyw..... Ukaridhika enzi zile za TANU hadi hivi sasa ccm bado unataka tu.
 
Sasa kama mama mwingi wa haja afanyeje?
 
mwacheni ajinafasi, kama ccm wanamkubali afanyeje?
 
Back
Top Bottom