huo mbwalasuti alovaa janeth haujampendeza
unaitwa masulupwetehuo mbwalasuti alovaa janeth haujampendeza
bilioni moja huo ohooohuo mbwalasuti alovaa janeth haujampendeza
hvi alijiona kapendeza kabisa eehmmh fashion nyingine bora inipite tu.
hvi alijiona kapendeza kabisa eeh
huo mbwalasuti alovaa janeth haujampendeza
bei yake unajenga dispensary tano hapa tz mkuuSketi si sketi...suruali si suruali...na hizo ngongoti alizovaa...basi balaa tupu!
bei yake unajenga dispensary tano hapa tz mkuu
ahaaaa ila hii nguo bwana kibokoHata likigawiwa bure silipeleki kwa mpenzi wangu hilo..na hakilivaa kila mtu njia yake, hakuna kuongozana!
huenda ana busha!huo mbwalasuti alovaa janeth haujampendeza
bilioni moja huo ohooo
Sketi si sketi...suruali si suruali...na hizo ngongoti alizovaa...basi balaa tupu!
jamani hilo sio kanya humo humo kweli??