We mkaka mwenye shati la bluu kwenye avatar

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,526
Reaction score
3,341
Jaman natumai wazima kuna mkaka kila nikiingia jf lazima nitamani japo kumuona kwenye avatar yake amevaa shat la bluu lina mistari meupe na mekundu kwenye mabega.sijui kwanini jamani
 
Pacha! unakosa bahati za kudondokewa hivi hivi.... avatar Excel! avatar
 
Last edited by a moderator:
Pacha! unakosa bahati za kudondokewa hivi hivi.... avatar Excel! avatar

si ndo hapo pacha... mi sasa nalazimisha! mwenye uzi kakimbia, akirudi tu anakuta nina shat la bluu lina mistari meupe na mekundu kwenye mabega !!

ngoja nizame google fasta...!!
 
kuna wengine humu wana avatar kama zimeungua hiivi!

jamani muwe mna-update avatar qudadeki!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…