"We must protect the peace and stability of our country" DP Kithure Kindiki

Ndio demokrasia hiyo tunaambiwa Kenya iko juu kwa east Africa.
Acha wawe hivyo TZ,Ug,Rwanda wanajenga nchi zao.
mtu amestruggle kuanzisha biashara amefika apo leo anaanza tena from 0, Damn hio video inaumiza sana
 
Mimi ningelikuwa Rais wa Kenya, hao waandamanaji wengi wao Sasa hivi wangelikuwa wakimbizi Somalia au Sudan!
 
Mimi ningelikuwa Rais wa Kenya, hao waandamanaji wengi wao Sasa hivi wangelikuwa wakimbizi Somalia au Sudan!
unataka karua na mwangi walianzishe! mm nawatupia kwa m7 kwanza wakae kama wiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…