wamarekani wanatufundisha kuwa wawazi kwa wenza wetu. Mama anasema 'we kila siku ndizi choma tuu! Hata chachandu hamna. Yaani jamaa akitaka mechi basi anachomeka 'ndizi' yake kwa mkewe bila maufundi wala kupiga jaramba (warm up)
cjaelewa kitu yaani nimetoka mtupu kabisa....
Kwa nini usicheke Hivyo!babu zetu walitufunza kwamba unapocheka na mkeo angalia usicheke hadi magego yakaonekana.kazi kwetu
mi nipo zaidi kwenye content...wanamaanisha nini? ni lugha ya picha au
maana mwanaume anasema 'we mwanamke kila siku ni maharage tuuu, ukibadili sana tembele'.....mwanamke anamjibu..."na weye, kama unataka samaki wa kupaka si unifundishe namna ya kupika huyo samaki wa kuoaka?" hapo mni baada ya 'mwanaume kutoka baa na ndizi choma bika chachandu'
nadhani tuanzie hapo
Natamani kuelewa ila sielewi jamani nisaidieni nielewesadly Yes FL1, kama alivosema mmojawapo hapo juu, naona hadi kwenye mahusiano inabidi tufundishwe namna ya kula ndizi na chachandu na pia samaki wa kupaka...
wenyewe wanasema kuvunja ukimya.....sasa ninachoogopa huu ukimya tukiuvunja na kutaka samaki wa kupaka na ndizi za chachandu......
hahaha hommie "Don't try this at home"............😛ray:.......
....wenyewe wanasema kuvunja ukimya.....sasa ninachoogopa huu ukimya tukiuvunja na kutaka samaki wa kupaka na ndizi za chachandu......
Natamani kuelewa ila sielewi jamani nisaidieni nielewe
Mi sijaelewa hapo.......!NDO TUNACHOJARIBU,
hebu sasa salha nini hujaelewa, tangazo lenyewe au 'konsepti' nyuma ya tangazo??
NDO TUNACHOJARIBU,
hebu sasa salha nini hujaelewa, tangazo lenyewe au 'konsepti' nyuma ya tangazo??
Nahisi kama tunapewa kibali cha kupiga infidelity, otherwise hayo ma new styles tutayapatia wapi? Infidelity hoyeeeeee!Yaani B jibaba kila likirudi home haliji na style mpya ya kula 'cha usiku' ile ile tu kumbe inamchosha mama mpika maharage kwa wali pia.
mi naelewa kuwa nyie wanandoa nyie muambiana 'mnatakaje kula ile kitu ile' sio kunyamaza tu mwishowe watu wanaenda kufanya makatazo na kuongeza kasi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI
hahaha hommie "Don't try this at home"............😛ray:.
Yaani B jibaba kila likirudi home haliji na style mpya ya kula 'cha usiku' ile ile tu kumbe inamchosha mama mpika maharage kwa wali pia.
mi naelewa kuwa nyie wanandoa nyie muambiana 'mnatakaje kula ile kitu ile' sio kunyamaza tu mwishowe watu wanaenda kufanya makatazo na kuongeza kasi ya maambukizi ya virusi vya UKIMWI
NDO TUNACHOJARIBU,
hebu sasa salha nini hujaelewa, tangazo lenyewe au 'konsepti' nyuma ya tangazo??
Nahisi kama tunapewa kibali cha kupiga infidelity, otherwise hayo ma new styles tutayapatia wapi? Infidelity hoyeeeeee!
Mi sijaelewa hapo.......!
hahahaha...B wewe unajua kupika samaki wa kupaka au unaishia kwenye wali maharage tu ukibadili sana tembele?:sleepy:
hommie umesahau kama hiyo ipo to stay..wao wanajaribu kuipunguza...kwa kutumia hypothesis kwamba watu wanapiga infidelity kwa vile hawazungumzi na wenzi wao-ze mshikiz........so wanavunja ukimya.....hahahahaha.......kwen infidelity kuna kila kitu
hivi hommie...haiwezekani kupiga infidelity na mshikiz?
...ehhh, swadakta hehehe,..
mie mswahili bana, nishafika mbaaaaaali...
ahh, ngoja nisubirie 'stendi' watu wa mwambao waje hapa.
Mzee Mwanakijiji, where are you???
Mi sijaelewa hapo.......!
Konsepti mbele ya tangazo
Nahisi kama tunapewa kibali cha kupiga infidelity, otherwise hayo ma new styles tutayapatia wapi? Infidelity hoyeeeeee!
halafu umetokea gest gani asiee......duh...ndo maana kichwa bado kina hang'over