mbu sisi watu wa mwambao pale tunapata maana nyengine kabisa amabyo haihusiani na chakula hichi cha kawaida....
suali kwa mama: hivi hukufundishwa namna ya mapishi tofauti huko kwenu mpaka usubiri mume akufundishe?
inaonyesha mume kachoka kusubiri ufundi nyumbani kajiamulia kuufata nje ....biriani, pilau, samaki wa kupaka, bata wa kuchoma, ......hehehe
kazi kweli kweli
Mwarubaini guest house. Kama si kunguni leo msingeniona hapa! LOL wanang'ata kama nyuki!halafu umetokea gest gani asiee......duh...ndo maana kichwa bado kina hang'over
mbu sisi watu wa mwambao pale tunapata maana nyengine kabisa amabyo haihusiani na chakula hichi cha kawaida....
suali kwa mama: hivi hukufundishwa namna ya mapishi tofauti huko kwenu mpaka usubiri mume akufundishe?
inaonyesha mume kachoka kusubiri ufundi nyumbani kajiamulia kuufata nje ....biriani, pilau, samaki wa kupaka, bata wa kuchoma, ......hehehe
kazi kweli kweli
bht ......bwana kachoshwa na maharage tuu akaamia bora ndizi choma bila chachandu! muahahaha
hisani ya watu wa marekani itatutokea puani mwaka huu.
Ahsante kwa hilo angalizo dada, oups sore, mwalimu wangu Gaijin! Sasa sina mashaka tena na weledi wako wa lugha ya taifa! Ofkozi na yale mambo mengine flani flani:lol:
tupunguze ukimya kuwa wazi na mwenzako. sio kulumbana, maneno ya kebehi kumbe kunalinalokukwaza, kaaziii kweli kweli.
lkn hili tangazo sasa,mmmmm:nono::nono::nono:
Mwarubaini guest house. Kama si kunguni leo msingeniona hapa! LOL wanang'ata kama nyuki!
...Dah! Haya mambo ni balaa niliwahi kukuta jamaa anazozana na demu wake si unajua mambo ya uswazi...kashfa kwa kwenda mbele...aliponimaliza yule dada ni pale alipomwambia jamaa hivi na wewe unajihesabu ni mwanaume? mwanaume gani wewe huku akimuoneshea kidole kidogo cha mwisho cha mkono (ikimaanisha) jamaa kakifaa ni kaduchuuuuu..mwisho akamalizia " mwanaume ni kudandia tu na kutwanga".....nilibaki nimeduwaa...nikaja kusikia jamaa mwenyewe anatokea mgombani...tehhh! tehhh!:attention::attention::attention:
kumekucha