We mwanaume unikome!

We mbona unatutukana chapombe lakini tunavumilia? Tukimwachia Mungu usitulaumu
 
Laana inaanza tokea kuzaliwa kwako.... Kama wazazi wako hawakukulea kwenye maadili mema hiyo ni laana tosha... Ana kibamia wewe una nini???... Kisima au bwawa???

Laitani angekukuta mwenye maadili mema usingemtusi leo... Kosa ni la wazazi wako kwa kukulea kama chokoraa ukakutana na kila aina ya mitarimbo ndio leo unapata nguvu ya kumtusi kijana wa watu ana kibamia.

For God sake wewe inabidi uwekwe kwenye bucket scanner uangaliwe umelala na wanaume wangapi... Na wanaume wenzangu sio kila mwanamke mzuri wa kuweka ndani... Wengine ni kupita tu njia.

Kuna wanawake hawaridhiki na wala hawatosheki... Kuna wanawake hata uwafanyie nini wamejaa usaliti na maovu tu... Ni ngumu kukuta wanawake wa hivyo wakiolewa... Wanazeekea makwao... Nani atachukua uozo auweke ndani.... Sasa wa bush akitoka huko anaona kapata.... Watu wanakung'ong'a kisogo.
 
Inawezekana naye akiitwa atasema naye kakuchoka kutokana na kumiliki "Mtera", watu wanafulia umeme, wanamwaga yaliyozidi juu ya mita za ujazo.
 
Namuomba mwenyezi Mungu aje awapatie wangu miguu ya watoto,naona hali ni mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…