Mtu mzima na usmart wake hawezi akapiga teke kopo amelikuta barabarani,Kuchepuka sometimes ni kama ukiwa unatembea njiani ukakutana na kopo, unajikuta umelipiga tu bila hata sabab ya msingi
KabisaMtu mzima na usmart wake hawezi akapiga teke kopo amelikuta barabarani,
Hayo hufanywa na Mtu mwenye utimamu wa mashaka.
Hii ndio point kuu.Kuchepuka sometimes ni kama ukiwa unatembea njiani ukakutana na kopo, unajikuta umelipiga tu bila hata sabab ya msingi
Kuna watu wengine wakiishi kwa amani inakuwa boring wanataka drama angalau kidogo.1. Una miaka chini ya 35
2. Umeoa mke mzuri na mnapendana
3. Mna Afya njema
4. Mna usafiri wenu wa kuwafikiaha hapa na pale
5. Mnaishi kwenu hamdaiwi kodi
6. Sio matajiri ila pesa ya kubadilisha mboga na majukumu ya kijamii mnapata
7. Hamna ugonvi na majirani.
Sasa hapa ukichepuka unatafuta nini kama sio laana? Simaanishi ukikosa kati ya hivyo uchepuke, ila kuna mazingira hata ukichepuka dhambi lazima iongezeke
MkunduzSema mwenyewe mkuu! Eti anaangaikia nn hapo?
SawaMtu mzima na usmart wake hawezi akapiga teke kopo amelikuta barabarani,
Hayo hufanywa na Mtu mwenye utimamu wa mashaka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuchepuka sometimes ni kama ukiwa unatembea njiani ukakutana na kopo, unajikuta umelipiga tu bila hata sabab ya msingi