We need to acknowledge ugly people exist, rather than saying things like "all people are beautiful"

We need to acknowledge ugly people exist, rather than saying things like "all people are beautiful"

Akotia

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
528
Reaction score
1,241
Ugly people exist and usually, know they're ugly. As do average people.

Fake sayings about how certain people are "beautiful in their own special way" don't really benefit anyone. The goal should be to make it ok to be ugly, and be proud of yourself regardless, and to treat ugly people with the same kindness and respect as beautiful people rather than whatever it is we're currently doing

We should stop with the "everybody is beautiful" and change it for "people attractivesness has no correlation with their worth".
 
We are not ugly, we have very unique and attractive look.
Ugliness exist but our looks shouldn't correlate with our worth. We are all the same beyond our physical form
 
Dah mbona sie wenye sura pesono tuna andamwa hivi? Tumekosea nini nyie mliokuwa na sura za mauzo
 
Embu fikiria mtu unamwambia na anakubali kuwa, kuna watu warefu na wafupi anakubali,
Kuna weupe na weusi anakubali
Kuna wajinga na werevu anakubali
Kuna wenye nguvu na wadhaifu anakubali
Kuna wanawake na wanaume anakubali

Alafu ukimuambia kuna Wabaya WA maumbile na Sura anakuambia hakuna, huyo si mnafiki
 
Wenye sura za kazi tusifieni hivyo hivyo hata kama ni kinafiki inatupapo moyo
 
Ugly people exist and usually, know they're ugly. As do average people.

Fake sayings about how certain people are "beautiful in their own special way" don't really benefit anyone. The goal should be to make it ok to be ugly...
God must be very beautiful, if He were to appear physically before us.

Ni macho ya nyama tu ndiyo huwa yanaweza kuona kitu na KUDHANI kuwa ni kibaya; Everything created by God is very beaultiful and the humans whom He made in His own imag;e are as beaultiful as God Himself.

Ni makosa tu yanayotufanya tunaona kuwa baadhi ya viumbe ni vibaya kwa sababu vingine ni nyoka ambao ni adui zetu.

Everything created by God is very beaultiful
 
Screenshot_20220606-103448955.png
 
God must be very beautiful, if He were to appear physically before us.

Ni macho ya nyama tu ndiyo huwa yanaweza kuona kitu na KUDHANI kuwa ni kibaya; Everything created by God is very beaultiful and the humans whom...
Ugly and beautiful are all God's creation,God wants us to consiously appreciate whatever he creates but not be identified with it as our primary identity.

Tukiishi Dunia ya kuheshimiana na kujikubali tulivo watu wasingetaka kujibadilisha au kua fake,ukimwambia mtu "Kila mtu duniani ni nzuri" halafu akijiangalia kwenye kioo anajiona alivo mbaya ni Kama unafiki na kumtia moyo tu lakini ukweli unajulikana.

Mtu anatakiwa ajue yeye ni kua mbaya au mzuri ni sifa ya nje tu na isiwe kikwazo Cha kua na hadhi tofauti ya binaadamu wengine.
 
Embu fikiria mtu unamwambia na anakubali kuwa, kuna watu warefu na wafupi anakubali,
Kuna weupe na weusi anakubali
Kuna wajinga na werevu anakubali
Kuna wenye nguvu na wadhaifu anakubali
Kuna wanawake na wanaume anakubali

Alafu ukimuambia kuna Wabaya WA maumbile na Sura anakuambia hakuna, huyo si mnafiki
Mtu anakimbilia kusema" ubaya wa mtu inategemea na macho ya mtu" kauli flani hivi za kutiana moyo.
 
Ugly and beautiful are all God's creation,God wants us to consiously appreciate whatever he creates but not be identified with it as our primary identity.

Tukiishi Dunia ya kuheshimiana na kujikubali tulivo watu wasingetaka kujibadilisha au kua fake,ukimwambia mtu "Kila mtu duniani ni nzuri" halafu akijiangalia kwenye kioo anajiona alivo mbaya ni Kama unafiki na kumtia moyo tu lakini ukweli unajulikana.

Mtu anatakiwa ajue yeye ni kua mbaya au mzuri ni sifa ya nje tu na isiwe kikwazo Cha kua na hadhi tofauti ya binaadamu wengine.
God created the beautiful only and as such; the ugly don't exist. Seeing something (that God created) as ugly is just an illusion; the highest level of illusion
 
Back
Top Bottom