ππ
God must be very beautiful, if He were to appear physically before us.Ugly people exist and usually, know they're ugly. As do average people.
Fake sayings about how certain people are "beautiful in their own special way" don't really benefit anyone. The goal should be to make it ok to be ugly...
Ugly and beautiful are all God's creation,God wants us to consiously appreciate whatever he creates but not be identified with it as our primary identity.God must be very beautiful, if He were to appear physically before us.
Ni macho ya nyama tu ndiyo huwa yanaweza kuona kitu na KUDHANI kuwa ni kibaya; Everything created by God is very beaultiful and the humans whom...
Mtu anakimbilia kusema" ubaya wa mtu inategemea na macho ya mtu" kauli flani hivi za kutiana moyo.Embu fikiria mtu unamwambia na anakubali kuwa, kuna watu warefu na wafupi anakubali,
Kuna weupe na weusi anakubali
Kuna wajinga na werevu anakubali
Kuna wenye nguvu na wadhaifu anakubali
Kuna wanawake na wanaume anakubali
Alafu ukimuambia kuna Wabaya WA maumbile na Sura anakuambia hakuna, huyo si mnafiki
God created the beautiful only and as such; the ugly don't exist. Seeing something (that God created) as ugly is just an illusion; the highest level of illusionUgly and beautiful are all God's creation,God wants us to consiously appreciate whatever he creates but not be identified with it as our primary identity.
Tukiishi Dunia ya kuheshimiana na kujikubali tulivo watu wasingetaka kujibadilisha au kua fake,ukimwambia mtu "Kila mtu duniani ni nzuri" halafu akijiangalia kwenye kioo anajiona alivo mbaya ni Kama unafiki na kumtia moyo tu lakini ukweli unajulikana.
Mtu anatakiwa ajue yeye ni kua mbaya au mzuri ni sifa ya nje tu na isiwe kikwazo Cha kua na hadhi tofauti ya binaadamu wengine.