We offer editing and Proofreading

Louis Mahali

Member
Joined
Mar 7, 2022
Posts
15
Reaction score
15
PAGEPATROL

Pagepatrol Tunatoa huduma za Editing, Proofreading And Translations.

Editing and proofreading in terms of.
Research
paper,Journals,Thesis,Articles, contract,Essay writings etc.

Translation in terms of;
Germany, English,French and Swahili.

Gharama zetu ni kwa bei nafuu Sana.

Editing and proofreading @ page Tzshs1000/=

Translation @ page Tshs 10,000/=

Pia Tunatoa huduma za kuandika

Barua za aina zote Kama vile
Application letter, scholarship letters etc. Kwa gharama nafuu kabisa Tshs 15,000/=

Pia Tunatoa huduma za kuandika CV kwa gharama nafuu Kabisa 20,000/=

Tunapatikana :

Chuo Cha CBE dar es salaam
Bibi titi Road
Kituo Akiba ( unapita mnazi mmoja )
Tupo Mkabala na chuo cha DIT

Kwa mawasiliano

WhatsApp 0767316144

Telephone no: 0714316144/0784507548

Karibuni Sana wote mnakaribishwa
 

Kwahiyo mmesema mnapatikana chuo kikuu cha CBE? Bibi titi Road, sio?
 
CV mkiandika average inakua inapage ngapi?
Cv standard average ni 2 pages ila sio mbaya Cv ikienda mpaka 3 pages, kwa sababu inazidi kuelezea ujuzi wako zaidi Tena kwa kueleweka zaidi.
Nadhani nitakuwa nimekujibu vizuri Mkuu
 
Lakini pia naomba unisaidie ku copy na kushare Tangazo langu Ili liwafikie watu wengi zaidi na tuzidi kuwahudumia watu wengi zaidi. Usisahau kunitagg Louis Mahali Kama kutakuwa na any query.nashkuru sana Mkuu na Mungu akubariki ✌️🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…