Mwiba
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 7,607
- 1,750
Tusitake kwenda mahakamani kuwashitaki mafisadi kwa sasa kwani kumejaa
na wafuasi wa Sulutani CCM wana mapandikizi wengi katika hizi mahakama tulizonazo.
Ni lazima tufikie kikomo ambacho tunaweza kuondokana na matatizo yaliyopo ili haki itendeke.
wanaJf mnafikira ni njia gani muhimu zinaweza kuchukuliwa na wanasiasa wetu waliopo katika kambi ya Upinzani ili kuweza kuiweka sawa nchi hii baada ya kuonekana kuwa CCM imepoteza mustakbali wa dira ya kizazi kijacho.