INAUZWA We sell Plastic timber and poles

Amos Mtatina

Member
Joined
Jun 5, 2021
Posts
50
Reaction score
43
Tunapambana na plastic pollution nyie mnatuletea plastic poles tena.

#MaendeleoHayanaChama
 
We are ecoacts, we produce plastic timber and poles, our timber are not rotten, terminate resistant, not get fungus, environmental friendly, durable and strong,,also our plastic timber are suitable for furniture making, fencing making , gardens making, and decking,for more info contact us through 0757671874/0676515441
Email :amtatina@ecoact.co.tzView attachment 1810344View attachment 1810343View attachment 1810342View attachment 1810345View attachment 1810346View attachment 1810347View attachment 1810348
 
Tupo kwa ajili ya kutunza mazingira, tuna tunza mazingira kwa kuchukua taka za plastiki na kuzifanyia second life kwa kuweza kutengeneza product mpya ambayo inadum kwa miaka mingi zahd ya 50, mana nguzo na mbao za plastiki haziozi, haziliwi na mchwa wala kubunguliwa.
 
Nahitaji sticks kwaajili ya kilimo cha bustani
Naomba mwenye nazo please
 
Hizo link zingine harifunguki. Weka na bei ya kila size.
Kuna size tofauti tofauti
Upande wa round poles zipo
5cm x 200 cm bei 18,000
3.3 inch x feet tall 8 bei 24,500
3.3 inch x feet tall 11 bei 36,000
Za pembe nne ni kama ifuuatavyo
2x2 feet 9 nyeusi bei 15,000
2x2 feet 9 nyeupe bei 17,000
4x2 feet 7 nyeusi bei 25,000
4x2 feet 7 nyeupe bei 33,000
4x4 feet 8 nyeus bei 34,500
4x4 feet 8 nyeupe bei 40,000
4x4 feet 10 nyeusi bei 42,000
 
Tangaza nasi bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…