We should write anything concerning Tanzania in kiswahili

Now we get new species of black donkey from the east,shame on you.
Peanut again and again,shame on you.
 
Wewe usiwe mjinga.

Moron ni Umoja.

Morons ni wingi.

Ulitakiwa uandike "These morons"

Mbona hicho ni kiingereza cha la kwanza? Huoni mbuzi wenzako wanakukwepa?
Hawezi kurudi, alidhani unakataa neno morons kumbe wenye akili tuko kwenye kanuni za lugha husika.

This morons
These morons

Akijibu nitag. Amegundua uzuzu wake tayari
 
Hizo ndio athari kubwa za PhD zao za kimagumashi. Majirani badilikeni tafadhali. [emoji1] NB: Muda wa ku'catch' ma'feeling' ni chooni mkichuchumaa, sio hapa.
 
Hizo ndio athari kubwa za PHd zao za kimagumashi. Majirani badilikeni tafadhali. [emoji1] NB: Muda wa ku'catch' ma'feeling' ni chooni mkichuchumaa. [emoji16]
Nawe ndio hucatch feeling huko badala ya kunya[emoji1787][emoji1787],ndio sababu mnakunya hata mtaani hapo kibera.
 
Nawe ndio hucatch feeling huko badala ya kunya[emoji1787][emoji1787],ndio sababu mnakunya hata mtaani hapo kibera.
Hiyo sasa si ndio fani yenu? Au unataka kunidanganya kwamba mliacha ule utamaduni wenu pendwa wa kuchimba dawa? [emoji38]
 
Unatupondea afu grammar yako tu kizungumkuti chalii, wew ndio moron mwenyewe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huwa wana matatizo sana ya ufahamu wa lugha, hutokwa povu bila hata kuelewa nini kimesemwa.
 
Kenya na Tanzania ni ndugu wa Baba mmoja na Mama mmoja.kamwe hatuwezi achana wala kutengana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…