heaven on desert
JF-Expert Member
- Jan 25, 2013
- 1,025
- 393
Unaweza kuwa ni miongoni mwa
watu wanaokichukulia poa Kiswahili
na kudhani kuwa kujua Kiingereza
ndio dili! Muulize Jose Chameleone
jinsi Kiswahili kilivyobadilisha
maisha yake. Kupitia Twitter, Jose
Chameleone amekiri kuwa Kiswahili
alichojifunza akiwa nchini Kenya
miaka 10 iliyopita kimemfikisha
hapo alipo leo akiwa mwanamuziki
tajiri na mwenye mafanikio
makubwa barani Afrika.
The SWAHILI I learnt 10yrs ago
brought mi here. Am JOSEPH,
ametweet.
Chameleone anajulikana kwa hits
nyingi alizoimba kwa Kiswahili na
kama ukikutana naye na
akakuongelesha Kiswahili huwezi
kudhani ni Mganda, anakijua
vilivyo.
watu wanaokichukulia poa Kiswahili
na kudhani kuwa kujua Kiingereza
ndio dili! Muulize Jose Chameleone
jinsi Kiswahili kilivyobadilisha
maisha yake. Kupitia Twitter, Jose
Chameleone amekiri kuwa Kiswahili
alichojifunza akiwa nchini Kenya
miaka 10 iliyopita kimemfikisha
hapo alipo leo akiwa mwanamuziki
tajiri na mwenye mafanikio
makubwa barani Afrika.
The SWAHILI I learnt 10yrs ago
brought mi here. Am JOSEPH,
ametweet.
Chameleone anajulikana kwa hits
nyingi alizoimba kwa Kiswahili na
kama ukikutana naye na
akakuongelesha Kiswahili huwezi
kudhani ni Mganda, anakijua
vilivyo.