Chasaka Mkonongo
New Member
- Aug 5, 2012
- 3
- 0
Ndugu zangu
Naoma tunatumia muda mwingi sana kuzungumzia "kufeli" kwa wanafunzi bila kuangalia huyo "aliyefeli" anachangiaje kuinua uchumi wetu na "aliyefaulu" anauvurugaje.
Hebu tafakari kidogo. Mvumbuzi wa computer Bill Gates "alifeli" na kupata disco chuo kikuu. Professor wake "aliyemfelisha" akampeleka kwenye maabara yake ya main frame computers ili ajifunze kwa spidi yake. Huyu Profesa, tofauti na maprofesa wetu wanaotaka kusikilizwa tu na wanafunzi wao, alitumia muda mwingi kuuliza maswali huku akisikiliza kwa makini majibu ya huyu "mjinga" Bill Gates ili aelewe extent ya ujinga wake ili amsaidie.
Matokeo yake wote tunayajua. Huyu profesa ailijikuta akigundua kwamba huyu "mjinga" Bill Gate kumbe ni genious guru ambaye alikuwa anafahamu kupita upeo wa profesa wake na ndio maana alichoandika kwenye mitihani hakikueleweka kwa profesa. Baada ya kugundua hivi, profesa yule alijigeuza mwanafunzi wake huku akisaka kwa udi na uvumba misaada mbalimbali kutoka serikalini ili amsaidie mwanafunzi wake katika uvumbuzi wake
What is the moral of all this? Watanzania tunatakiwa tuelewe kwamba kufeli mitihani ya Ndalichako si ishara kwamba mtahiniwa ni mjinga. Inaweza kutafsrika kwamba mwanafunzi anajua zaidi ya vile mwalimu anavyofaham
Nini kifanyike: Wanajamii tujikite sana kuchunguza vipaji vya watoto wetu, tutafute namna ya kuwa support ili wasikwame kwenye academic ladder kwa kile kinachoitwa kufeli. Hapa duniani hakuna kufeli
Chas Mike