We ulisikia wapi? NTV ya Kenya imemuangazia Mbunge Seleman Bungara

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Huyu Mbunge ana sarakasi kweli kweli. Hii video ya NTV ya Kenya inaonyesha video ya vituko vyake.

 
Mbunge huyo ana hoja dhabiti. Nilishawahi kusikia akiwatetea wananchi waliomchagua walipokumbwa na mafuriko.
 
Huyu Mbunge ana sarakasi kweli kweli. Hii video ya NTV ya Kenya inaonyesha video ya vituko vyake.

Umeisikia na hii 'single' aliyoshirikishwa?...
Your browser is not able to display this video.
 
Hehehehe! Jamaa ndio kapata umaarufu hivi hivi tu.
 
Kenya haiwezi kuishi bila Tanzania.

Huyu jamaa ni maarufu huko Kenya kuliko hata Tanzania.

Halafu mnakuja na kiramani uchwara cha PowerPoint eti Tanzania Ina Google Kenya wakati ni vice-versa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…