Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
-
- #21
Yaaa wimbo mzuri wamejitahidi
Hatareee
Pampula siku nyingine anza na neno "wimbo" kidogo nijikwae kwa mbio nilizokuja nazo[emoji134][emoji134]
Niko apa namsubiri
Ndio mambo gani haya sasa🙆🙆🙆Auntie upo kama mimi
NimemsahauMbutaah!
Yupi?
Si yule 'Z' [emoji126][emoji126]
Baada ya Z inafuata herufi gani?Nimemsahau
Jana mmeshinda [emoji3]